Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,448
- 4,980
- Thread starter
- #21
nausubiri ushauri wako baada ya tafakari yako@pretaSasa wewe........hebu ngoja kwanza.......nitafakari hii hoja yako.......
nausubiri ushauri wako baada ya tafakari yako@pretaSasa wewe........hebu ngoja kwanza.......nitafakari hii hoja yako.......
pole sana, kuwa makini inawezekana huyo mchumba wako ame sex na mtu mwingine na pengine anahisi amepata mimba sasa anataka ukisha sex nae , akuambie kua wewe ndiye mwenye hio mimba, mchumnguze vizuri.
dada AshaDii mimi ni mwanaume jamaniMkuu,
Hili suala linajibiwa tofauti kabisa tegemeana na sex ya mtu. Yani majibu ya suala hili hili ni tofauti kwa yale kwa mwanamke na yale kwa mwanaume.
Nimesoma sana kati kati ya mstari na sitaki nifanya conclusion ya kimakosa. Naomba nijue wewe ni Mwanaume ama Mwanamke?
::
Nahisi harufu nzuri ya kutafutiwa mimba.
=
asante Joseph nitafanyia kazi ushauri wakoHa ha ha ha ha Obama wa Bongo usiogope sana kusikia hayo maana wenzako huko tayari wameanza kumpa mchecheto wa mahaba a.k.a mapenzi na hawezi kuvumilia tena maana chipsi na kuku na vyakula vingine anavyokula vinachochea hamu pia sasa kama anapata kinachomchochea zaidi ya mwili wake pekee basi ujue ukichelewa utakuta tayari watu wanamega.
Kwa kuwa hutaki kumega mpaka muoane basi fanya taratibu hizo haraka iwezekanavyo ili ule hilo tunda unalotunziwa bila kuwa na wasiwasi.
Nafurahi kuona watu tunajali matatizo ya watu,AshaDii,Preta na Bhululu natumai mtakuja na ushauri mzuri.
reason kwanini hapana ni siwezi kumkosea mungu kwa ajili ya ngono tu! kumbuka kuwa ndoa ni takatifu kama vitabu vya dini vinavyosema! natumaini umenielewa kapyuHe/ she is right. There is no very good reason kwa nini hapana. Labda uwe unamatatizo unaogopa asije gundua ili akakimbia. Mmekaa mda gani katika mahusiano mpaka sasa.? Sijui imaani yako inasema nn.kapimeni mkiwa poua muendelee na mchakato as yo wishes

\Kaka nitupime mie nikusaidie kum-pooza kiu yake...laa sivyo ataliwa na wajingawajinga wa shulen anakosoma...sorry lakini..did she said she's virgin????...kama hajawahi kuguswa na mwanaume toka azaliwe iweje aulilie uume asioujuwaaaaaa???..keshaonja tunda huyo so anataka kupanda mti kabsaaa avune matundaaaa....
Lakini na weweeee...mtu sio bikra na may be zote mbili hazipo unamtakaje asubirie mpaka 2014??...kwani huo ni uchaguzi wa raisi mpaka 2015???...mpe kitu roho inataka or else mlete watu tukusaidie kumpa kitu roho inapenda.
wewe kama kweli una msimamo basi ata avue chupi mbele yako hutamgegeda. stick to ur principles kijana nakukubali sana
mmmmmmh isije kuwa anataka kukubambikia mimba???????????:A S 39: