hahaha mie mgegedaji ila i like men with principles. its about principality bby!!!
thank u! ndugu yangu kwa ushauri mzuri!kwa nn dec 2014 sababu kubwa ninategemea kuwa mambo yetu yatakuwa settle maana wote wawili tunafanya masomo ya jioni,then kuna mambo ya ujenzi kuna wadogo wanasoma!kwa hiyo mpaka july 2014 tunategemea hatakuwa wameshamalizika ndio sababu kuu ya kuchelewaMkuu endelea na msimamo wako,ongea na mpenzi wako umuweke sawa.
Lakini fanya fasta uoe mkuu dec 2014 ni mbali mno,kuna changamoto nyingi sana kufanya mahusiano ya muda mrefu na mtu ambaye tayari umejiridhisha anafaa kuwa mkeo tena wote mnafanya kazi!..
ameen! asante kwa ushauri wako mzuri ndugu !ubarikiweUshauri wangu ni huu;Jaribu kaa naye mshauri,usikubali kufanya hilo siku anayotaka hata kama unaamua kufanya hivyo. Kuna mambo mawili nimehisi;moja ameshatembea na mtu mwingine,anahisi kapata mimba ili akurushie mzigo. pili yawezekana katembea na mtu mwaathirika,anatafuta sababu ya kuwa na wewe karibu,ili ikja julikana basi uwe responsible. Cha msingi,msimamo wako ni mzuri,ila mapenzi si lazima mlaliane bwana,romance inatosha tu na mkawa salama. Mungu akuongoze.
mkuu!@kbosho kugegeda ndio nini?daa namashaka na ww....unakataa kugegeda?....au unataka watu wakusaidie? shauri yako ushukuru amekuambia ukweli...wengine wanatafuta watu wana wagegeda uku ukidanganywa.......nnasubr ndoa
mhhhhhhhhh! no coments! nimeusoma ushauri wako NeyluMmmh... Haya mambo hata mie siyawezi..!
Unakaa na mwanaume unasubiri ndoa, sasa ukikuta ana lijimashine likubwa usiloweza kulimudu, au ukikuta HAWEZI KAZI (Kitu hakisimami), na ndio ndoa ya kikiristo mshafunga utalia na nani? Mmmh....!
Huyo Bi dada ameshaelezwa na mashosti zake athari za kuuziana Mbuzi kwenye gunia ndio maana anang'ang'ania game ili ajipimie mwenyewe..!!