Msaada wa haraka Kurudisha Audio file lililofutika(PC)

Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,519
1,825
Salam Wakuu! file limefutika miezi minne iliyopita! kuna Njia Yoyote ya kulirudisha?
 
Download software ya data recovery... yoyote inayopatkana for free.... zipo nyingii... naamin yoyote utakayochagua itakata mzizi wa fitina na italeta hta audio file ya mwaka juzi.
 
Back
Top Bottom