Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,361
- 11,200
Usiku wa jana UJD (US Justice Department) waliachia zaidi ya files 1000 zinazohusiana na kesi ya Epstein.
Sasa kama mnakumbuka vizuri, kuna kipindi miezi kadhaa iliyopita Elon Musk na Trump walikosana, hii ilipelekea Elon Musk kumuhusisha Trump na kesi ya Epstein. Elon Musk alidai Trump yupo kwenye Epstein files.
Sasa watu wanaongea mtandaoni, kuwa Israel wanazo hizi files, na kwasasa wanazitumia kumblackmail Trump ili aishambulie Iran, na ukifikiria kwa utulivu ina make sense.