Msaada wa haraka, kuna uvimbe nyuma ya goti unanisumbua

matyhans

JF-Expert Member
Jan 3, 2013
610
400
Habari za majukumu wakuu...
nipo na tatizo katika mguu wangu (nyuma ya goti) nina uvimbe fulan hv na mishipa kama imevimba hv... huwa panauma nikitembea umbali mrefu, nikikimbia, au nikijamiana... nimejaribu fika hospitali ya mkoa (Mbeya) nikakutana na Doctor akaniambia kwamba kwa tatizo langu wao lipo nje ya uwezo wao... nafikisha hapa jukwaani ili niweze pata mawazo ya kitaalamu.

nawasilisha
IMG_20170328_125708.jpg
 
Back
Top Bottom