Msaada wa haraka kuhusu telebox Tanzania

Na wewe utakuwa mmoja ya wanaotaka wenzako waibiwe kwa akili ya kawaida kuhack simu ya mtu haijawahi kuwa rahisi hivyo eti unaweka namba una click tayari.
Waliojaribu wameliwa ela yao kwa kudanganywa watatumiwa activation code lakini hollah
Naona ni uwizi mambo leo
 
Asee!! Naona watu wanataka pga pesa hapo hivi!! Hiyo app itakuwa ya kitapeli mkuu
 
Unapata raha gani kudanganya watu? Au na wewe ni miongoni mwao upo hapa kuwapigia promo!!

Hao jamaa ni matapeli,period!
Wanatepeli vp mkuu? Hebu funguka zaidi maana hata mm ndio mara yangu ya kwanza kuisikia.
 
Poleni mnaosema ni yakitapeli ni bonge moja ya app hasa kwa kumfuatilia mpenzi au mke ambaye unadhani unaibiwa. Sisi tupo tunaenjoy tu na telbox Tanzania kwa elfu 45 tu
Upigaji 100% nahisi harufu ya utapeli
 
Wanatepeli vp mkuu? Hebu funguka zaidi maana hata mm ndio mara yangu ya kwanza kuisikia.
Hiyo app ipo playstore,nenda kadownload…
Ikishaidownload itakuambia ingiza no. za unaetaka kudukua mawasiliano yake,then itakuomba activation code

Kupata activation code itabidi uwatumie hela hao wenye hiyo app,ukishatuma ndio umetapeliwa hivyo!
 
Hii application ni utapeli mtupu. Nina waswasi hata mleta mada kaja kuipgia promo humu.

Ndg zangu mkidhubutu mmetapeliwa.
 
Kwa yeyote mwenye ujuzi juu ya hii app aliyoigundua mtanzania mwenzetu inayoitwa TELBOX TANZANIA kwa ajili ya kuhang taarifa za simu nyingine.
Naomba kufajamishwa kwa wale tulioko nje ya nchi na hatuwezi kuaccess matumizi ya tigo pesa na mpesa tufanyeje malipo ili kuitumia hii app?? Na je kuna uwezekano huo au ni kwa ajili ya walio nchini tu. Msaada tafadhari.
mwsho wa siku utakuja kulalamika tu, hacking haziend ivo, mana kwa navyojua lazima ufanye installation kwenye sim ulioitarget,
 
Kwa yeyote mwenye ujuzi juu ya hii app aliyoigundua mtanzania mwenzetu inayoitwa TELBOX TANZANIA kwa ajili ya kuhang taarifa za simu nyingine.
Naomba kufajamishwa kwa wale tulioko nje ya nchi na hatuwezi kuaccess matumizi ya tigo pesa na mpesa tufanyeje malipo ili kuitumia hii app?? Na je kuna uwezekano huo au ni kwa ajili ya walio nchini tu. Msaada tafadhari.
ingekuwa cyo ya ki tapeli it means hyu ana uwezo mkubwa mbna ashindwe kuweka free trial hata ya siku 3 then ndo ulipie ni tapeli tu...
 
Hata aliyepost hii siyo kwamba kweli anauliza ila nae anatafuta watu wavutiwe tu. We soma maelezo yake vizuli utamgundua. Huwezidukua au acces simu ya mtu bila kibali cha polisi. Ninashangaa ni kwa nini hawa jamaa hawajakamatwa kwa matangazo yao ya kiwizi.
 
Back
Top Bottom