Hivyo si vya kutafuna kweli? aina ya bites, vikichemshwa itakuwa futari😁Sio aina ya pasta hizo?macaroni?
Lakini asiyejua kupika ni mimi uhakika
Sawa, ila maisha yanatufanya kufanya vitu ambavyo si vya msingi. Mi niko zangu hapa Iran nimevaa gwanda.Business mkuu
Sawa, ila maisha yanatufanya kufanya vitu ambavyo si vya msingi. Mi niko zangu hapa Iran nimevaa gwanda.
Nakuona umesimamia mikono
Niache mkuu niko na Iran mwanzo mwisho niko live vigwazaNakuona umesimamia mikono
Viongozi waliobakia wamelipuliwa kwenye kikaoNiache mkuu niko na Iran mwanzo mwisho niko live vigwaza
Mama mtoto Binti wa zamani, mbona mwanao ana pigo za kipwani-pwani.Ukifanikiwe, uniletee mama yako vya kuonja, sijawahi kuvila.
Sijui namna ya kuvipika, aende youtube
View: https://youtu.be/73WEWJ4f1vU?si=8q0p4lMqbM-Z1zjh
Huyu dogo sijawahi kumuona akiwa siriazi aisee, kama yupo siriazi achangie training feeUko serious tukusaidie au unachangamsha genge?
Daaaah nilikesha kabisa ile kazi so poa kabisaMama mtoto Binti wa zamani, mbona mwanao ana pigo za kipwani-pwani.
Mjomba Poor Brain ile dili tajiri alitufelisha idea yetu aliwapa Mkuki na Nyota Publishers 😏
Pole sana sema yule jamaa Jau sana dili zinakuja Kijana usiwazeDaaaah nilikesha kabisa ile kazi so poa kabisa