Msaada wa haraka jamani

someni hii k2 haina shombo wala shobo, mapenzi ya Vyuoni mtaumizana bure hapo bado ma-Lectuare hawajawachukua ili msi-Disco samahanini kama nimewaudhi sina lugha laini zaidi ya hiyo
thanx mkuu point taken (ujumbe utafika bila shobo au sio)
 
Ama kweli kupenda ni zaidi ya upofu! Mwambia asepe fasta huyo ni kicheche hafai kabsaaaaa!!!!
 
Hi issue yenyewe ya mvulana na msichana wote watoto wa shule, bora wakomae na masomo tu. Na huyo mvulana kutumia hela ya mkopo wa chuo kutaka kuwafuata wasichana wengine kwa taxi atalijua jiji.
 
Aachane nae, wanaume mbona wengi wastaarabu wapo,
mpaka atakapowabamba live kwenye sita kwa sita ndio
ataamini kwamba huyo jamaa sio mwaminifu???
 
mapenzi gani hayo ya kulazimisha,mwambie my friend wako apige chini. Nalog off
Nyie wajumbe kazi kushauri apige chini sasa atapata wapi palipo salama?hakuna mapenz these days ni kuchakachuana tu.
Mwambie amsamehe mahabuba wake waendeleze raha zao na amzoEe hivyohivyo.HASIMWACHE ila amvumilie na amuamini anachoambiwa.
 
Hi issue yenyewe ya mvulana na msichana wote watoto wa shule, bora wakomae na masomo tu. Na huyo mvulana kutumia hela ya mkopo wa chuo kutaka kuwafuata wasichana wengine kwa taxi atalijua jiji.
hahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaa then bada ya mda wanagoma hela chache
 
Aachane nae, wanaume mbona wengi wastaarabu wapo,
mpaka atakapowabamba live kwenye sita kwa sita ndio
ataamini kwamba huyo jamaa sio mwaminifu???
tena wengi mnoooooooooooooo na wastarabu mnooooooo
 
Nyie wajumbe kazi kushauri apige chini sasa atapata wapi palipo salama?hakuna mapenz these days ni kuchakachuana tu.
Mwambie amsamehe mahabuba wake waendeleze raha zao na amzoEe hivyohivyo.HASIMWACHE ila amvumilie na amuamini anachoambiwa.
duh! ))))))))))))) hata kama mzinzi amwamini tu jamani loh!
 
hayo maradhi lol
tena maradhi ya moyo
hebu atafute ustaarabu mwingine maana kweli tunajua wanaume wengi ni pendapenda ila huyo ni ma*l**ya

AKIENDELEA NAE MBELENI ATAJUTA!
 
Nyie wajumbe kazi kushauri apige chini sasa atapata wapi palipo salama?hakuna mapenz these days ni kuchakachuana tu.
Mwambie amsamehe mahabuba wake waendeleze raha zao na amzoEe hivyohivyo.HASIMWACHE ila amvumilie na amuamini anachoambiwa.
Hiyo inaitwa stahamili japo unaumia.Nalog off
 
da Aminata kama vipi niunganishie na huyo rafiki yako,mie nitampenda kuliko maelezo.Nalog off
 
mwambie apige shule apate GPA ya kutosha kazi zenyewe ngumu mpaka GPA ya second class.

kuhusu kucheat si mshauri ukimwi wa siku hizi unaua haraka sana
 
Back
Top Bottom