Msaada wa haraka jamani

Jibu ulitaka/ ulilompa ndio jibu sahihi.
sijampa bado mana naogopa waweza umwambie muache alafu wasiachane sura nitaiweka wapi hii loh!
ndio mana naomba njia ya yy kumueleza kua huyo hakufai ondoka mapema kabla mambo hayajawa makubwa zaidi loh!
 
Kwa post 73 tangu ujiunge Juni mwaka huu, unatarajia kuelewa lugha ya humu MMU kweli!? Endelea kujifunza ndugu yangu, bado una safari ndefu!
thanx mtambuzi ............cjui kwann walikitoa kile kitufe cha thanx jamani loh!
 
story ya kutunga na bado haina mvuto, alafu we ni graduate jifunze kujieleza jamii ikuelewe! kiswahili broken, ebu jaribu kuiweka katika english may be we will get u!
wewe kima kweli usifikiri watu wote walioko huku ni waswahili mweh!then ktk dunia hii ukihadithiwa kila kitu utafikiri ni chakutunga koz hujawai kutokewa wala kuona mbali na kusikia ww inaonesha ni mtoto wa nepi bado so ukikua utaacha ...............sasa wakati ww unakua acha ss tuendelee na walimwengu mana ww huwajui bado
nakutakia ukuaji mwema
kwasasa kaooooooooooooooooooooooge uko
 
Mmh, adolescence inatesa, ngoja nikamwandalie biriani babu.

Anauliza nani ya mbwa wakati mkia kaushika?
 
Anataka ushauri gani tena hapo?ameshaonyeshwa na mungu kwamba jamaa ni cheater so hapo kuna mawili either anataka kuumia muda wote au anataka kuwa free
We mwambie achague kati ya hayo mawili



point taken
 
Aendelee na masomo yake,na AMUACHE huyo jamaa,magonjwa mengi siku hizi.Simshauri nae a cheat kabisa.Atapata mwingine.
mm pia nataka kumuambia ivo tatizo kafa sana naweza kusema then naye amwambie yule hata rafiki yangu kasema nikuache loh!
msala uwe kwangu so naitaji njia ya kumuingia na kumpa maneno yamuingie au nimepa kavukavu mi nile kona zangu ye atajua anyoe au asuke
 
AMINATA 9 QUOTE: wewe kima kweli usifikiri watu wote walioko huku ni waswahili mweh!then ktk dunia hii ukihadithiwa kila kitu utafikiri ni chakutunga koz hujawai kutokewa wala kuona mbali na kusikia ww inaonesha ni mtoto wa nepi bado so ukikua utaacha ...............sasa wakati ww unakua acha ss tuendelee na walimwengu mana ww huwajui bado
nakutakia ukuaji mwema
kwasasa kaooooooooooooooooooooooge uko................

Hukutakiwa kutumia nguvu nyiiiingi kiasi hicho kumjibu, kukaa kwako kimya lingekuwa ni jibu mwafaka kwa Njuka kama huyu............ Pamoja daima
 
Hukutakiwa kutumia nguvu nyiiiingi kiasi hicho kumjibu, kukaa kwako kimya lingekuwa ni jibu mwafaka kwa Njuka kama huyu............ Pamoja daima[/QUOTE]
thanx meeeeeeeeeeeeen
 
ukweli una-touch! graduate hajui kujieleza! ndo nyie nyie mnaotupeleka kwenye mikataba feki!
 
Kama kweli anampenda asingeenda FB kutafuta wadada,akiahidiwa mechi ataikataa????????????

Ila nahisi ni wewe mwenye tatizo,si useme tuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.Mpige chini fasta kabla hajakugea kale ka ugonjwa ketu.
 
Back
Top Bottom