Msaada wa haraka hii hesabu!!!

Msaada wa haraka hii hesabu!!!

Tangu lini 'x' ikazidishika, kugawanyika? Acheni danganya toto, maths ni uongo tu. Tunafuata theory za watu, na hamna reality.
 
wale wataalam wa hesabu hebu nisaidieni namna ya kusolve hii haraka, nimejaribu njia zote nimeshindwa (log... Etc), sasa sijui ni uzee unanisumbua!!

2[sup]x[/sup]=4x

the answer is 4, sasa tatizo ni namna ya kuipata hiyo 4.

hapa napita niko k apa kabisaaaa
 
Hakuna kitu kama hicho. Ww una uhakika kuwa 2*x=2x? Hebu prove it ktk maisha ya kawaida. Math ni uongo, tunafuata theory tu kurahisisha but kiuhalisia hamna kitu kama hicho.
Tatizo lako linaeleweka, MathsPhobia i guess!
 
una allergy na namba ww

mimi math, naikataa sio kwamba siiwezi. Ww una uhakika kuwa 2*x=2x? Hebu prove it ktk maisha ya kawaida. Math ni uongo, tunafuata theory tu kurahisisha but kiuhalisia hamna kitu kama hicho.
 
Wale wataalam wa hesabu hebu nisaidieni namna ya kusolve hii haraka, nimejaribu njia zote nimeshindwa (Log... etc), sasa sijui ni uzee unanisumbua!!

2[SUP]x[/SUP]=4X

The answer is 4, sasa tatizo ni namna ya kuipata hiyo 4.

kwani zero sio jibu kijana
 
2^x =4x......log
log2 ^x=log4x.
Xlog2=log(2^2)X.
Xlog2=log(2^2)+logX.
Xlog2=2log2+logX
logX=Xlog2-2log2
logX=(X-2)Log2
X=(X-2)2
X=2X-4
4=2X-X
X=4.

Very good! Nilikuwa cjaona hii post lakn chakushangaza watu wanalalama wakati hizo namba zinaondoka kiulaini sana.
 
Very good! Nilikuwa cjaona hii post lakn chakushangaza watu wanalalama wakati hizo namba zinaondoka kiulaini sana.

logX=(x-2)log2 x=(x-2)2, tafakari kwa makini jinsi log inavyoondoka ndipo ushangilie. Hapa bado sijaelewa.
 
Kwa kusolve hutapata jibu, simple chora graph. Kwa ufupi huwezi kupata variable ambayo ipo chini na juu, chini kwa maana ya 4X, juu kwa maana ya 2^X. Njia ya rahisi ni kuchora graph.
 
logX=(x-2)log2 x=(x-2)2, tafakari kwa makini jinsi log inavyoondoka ndipo ushangilie. Hapa bado sijaelewa.

Kwanza nampongeza Husninyo kwa njia yake lakin bado sijakubaliana nae ktk maelezo ya kuiua hiyo log, kwa maana nimezipitia sheria zote za log hakuna inayokubaliana na njia yake hasa kutoka "logX=2log(X-2)" kuja "X=2(X-2)", mwenye kutusaidia hapa tafadhali.
 
rudia posts zangu, nilishasawazisha.
Gawanya kwa 2log(X-2) kila upande, badilisha katika exponential form utapata jibu hapo. Ahsante.
 
hilo swali linakuwa solved by graph:

kama hivi ifuatavyo, let y=2^x=4x then chora graph ya y=2^x, then, katika same axis chora graph ya y=4x, then pale graphs hizo zitakapo intersect ndiyo jibu lenyewe.
 
Mkuu hiyo njia yako haiwezi kuwa kweli,
 
wale wataalam wa hesabu hebu nisaidieni namna ya kusolve hii haraka, nimejaribu njia zote nimeshindwa (log... Etc), sasa sijui ni uzee unanisumbua!!

2[sup]x[/sup]=4x

the answer is 4, sasa tatizo ni namna ya kuipata hiyo 4.

dasa.. Wewe dasa.. desa!
 
rudia posts zangu, nilishasawazisha.
Gawanya kwa 2log(X-2) kila upande, badilisha katika exponential form utapata jibu hapo. Ahsante.

Nimesoma ile post ya kuweka ktk exponential form, bado kunaujanjaujanja ulivomanipulate haijanishawishi lakin huu pia ni mwanzo mzuri, nitafuatilia detail zaid ktk mabuku yangu, nakutakia jioni njema.
 
maujanja au hujaelewa? Nway, ngoja niende internet cafe nikawaandikie njia vizuri.
 
Back
Top Bottom