Endesha uende nyumbani..
unazungumzia gari hiyo chini ya kitovu au motokaaaGari yangu imezama kabisa baharini kwa muda wa masaa km 24 hivi ila now ishatolewa ipo nchi kavu,
Nini kifanyike plz???
Endesha uende nyumbani..
Gari yangu imezama kabisa baharini kwa muda wa masaa km 24 hivi ila now ishatolewa ipo nchi kavu,
Nini kifanyike plz???
Kwahiyo?Mkiwa mnaambiwa hand break muhimu mnaona kama mnaonewa... ona sasa gari umeiacha parking imesogea hadi bahari...