Msaada wa haraka, gari yangu imezama baharini kwa saa 24

Yamin619

Member
Jun 7, 2016
10
3
Gari yangu imezama kabisa baharini kwa muda wa masaa km 24 hivi ila now ishatolewa ipo nchi kavu,

Nini kifanyike plz???
 
hiyo hata moto usipige mpaka uwonane na fundi aliye mzowefu akague kuna vitu vingi vibadilishwe na ifanyiwe repair yote
 
Iache ikauke walau three days kwenye juwa then tafutafundi amwage oil zote na matuta yote then waka mengine......
 
Ilikuwaje ikazama baharini? Ni bahari gani hiyo mkuu?
Kama uliikatia bima, wauzie msala. Ila kama haina bima kubwa, ivute iende car wash waiioshe wewee. Pia umtafute fundi aicheki kama haijaathirika mfumo wa electronics na makorokoro mengine. Kama ilikuwa haijawaka, its ulikely kuwa injini itakuwa imevuta maji.
 
Lazma ifunguliwe sampo na slenda hed maji yote yaishe tank la mafuta kuna uwezekano maji hayajaingia.sana huwa yanaingia ktk aircleaner
 
Mkiwa mnaambiwa hand break muhimu mnaona kama mnaonewa... ona sasa gari umeiacha parking imesogea hadi bahari...
 
Andaa maziko yake.. ' msiba wahiyo gari tuamboleza pamoja na simu feki
 
ni vyema mnavyo omba ushauri muwe mnatoa maelezo ya kina zaidi .sasa unasema gari yako ss tunafaham gari yako ni aina gani ya gari???

some times unaweza ukashindwa kusaidiwa kutokana na maelezo yako kuwa butu butu .

jaribu kutoa maelezo ya kina kama upo kwa dr
 
Back
Top Bottom