Msaada wa haraka EPS Kwenye gari

pure man

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
546
437
Habar,jaman niko njian naelekea kanda ya ziwa ghafla gar yangu imeandika EPS kwenye dashboard na steering imekuwa nzito sana ushauri wenu tafadhar
 
Pole. Ni gari gani hiyo?
Baadhi ya magari usukani hautumii hydrolic. Yanatumia kifaa kinaitwa Electric Power Steering (EPS). Sasa hicho kifaa kitakuwa kimekufa. So inabidi ukibadilishe. Gari yangu iliwahi kufa EPS, mbona hadi nilikuwa baunsa.
 
Cheki hydraulic ya steering kwenye engine kama ipo ya kutosha isijekuwa kuna leakage na imemwagika kwa hiyo unapata hiyo shida.Pia pitia mahali popote kwenye fundi achungulie hiyo kitu ili upate msaada.
 
Cheki hydraulic ya steering kwenye engine kama ipo ya kutosha isijekuwa kuna leakage na imemwagika kwa hiyo unapata hiyo shida.Pia pitia mahali popote kwenye fundi achungulie hiyo kitu ili upate msaada.
Gari ya EPS haitumii hydraulic mkuu. Inatumia umeme.
 
passo ukifanya masihara utanunulishwa systerm nzima .so ushauri wangu wa kukusaidia ukifika unakofika au ukibahatika kupata fundi mwenye mashine mwambie akupimie then tuma fault code hapa nikwambie ugonjwa na utatuzo wako coz huo ndio ugonjwa mkubwa wa passo na unaweza ukaiwasha na kutoa terminal ya betri ugonjwa ukaisha.

nahisi itakuwa na code inayohusiana motor wellding relay malfunction.

ukifungua makava ya sterling kuna kama sensor hivi inakuwa na coil so huwa inapata dry joint .

pole sana mkuu
 
Mmh hiyo sio airbag mkuu, hapo utakuta mkanda wa sterling umekatika au kuna fault. Kwenye hiyo alarm si kuna kama mtu amekaa alafu kuna kama puto hivi usoni mwake? Kama ni hivyo hiyo ni airbag system hapo ukipata ajali airbag halifunguki


Mkuu na mimi gar yangu inatitizo hilo hilo kunakamtu alafu na puto usobi,then honi hailii ukipiga!
 
sio anti braking system Usedcountrynewpipo ni anti lock braking system , na taa ya abs iki appear kwa dashboard that means ECU ( electronic control unit ) has disabled ABS japo breki za kawaida zitakuwepo ila katika brake zako huko barabaran kwa vile ABS haitakuwa ikifanya kazi basi ikitokea emergency itabd ucheze na control yako sababu ukishka brake kwa nguvu tair zitateleza kupelekea gar kuhama rodin
 
epss.jpg
 
Back
Top Bottom