Madhara yake ni kwamba utageuka baunsa. Tafuta tu spare ubadilishe. Passo mbona spare nyingi?Ni passo mkuu daaaa madhara yake kwa sasa ni nn
Gari ya EPS haitumii hydraulic mkuu. Inatumia umeme.Cheki hydraulic ya steering kwenye engine kama ipo ya kutosha isijekuwa kuna leakage na imemwagika kwa hiyo unapata hiyo shida.Pia pitia mahali popote kwenye fundi achungulie hiyo kitu ili upate msaada.
Ok sikufahamu hiyo kitu,nimeshazoea haya magari yetu ya hydraulic.Gari ya EPS haitumii hydraulic mkuu. Inatumia umeme.
Hiyo ni antibraking system...Hivi nq gari kuandika abs maana yake nn wakuu
Mmh hiyo sio airbag mkuu, hapo utakuta mkanda wa sterling umekatika au kuna fault. Kwenye hiyo alarm si kuna kama mtu amekaa alafu kuna kama puto hivi usoni mwake? Kama ni hivyo hiyo ni airbag system hapo ukipata ajali airbag halifungukiHivi nq gari kuandika abs maana yake nn wakuu
Hiyo ni antibraking system...
Mmh hiyo sio airbag mkuu, hapo utakuta mkanda wa sterling umekatika au kuna fault. Kwenye hiyo alarm si kuna kama mtu amekaa alafu kuna kama puto hivi usoni mwake? Kama ni hivyo hiyo ni airbag system hapo ukipata ajali airbag halifunguki
Pamoja na umeme hydrauric ipo pale pale. Aangalie fuseGari ya EPS haitumii hydraulic mkuu. Inatumia umeme.
Hivi nq gari kuandika abs maana yake nn wakuu
Brake hazipo sawa au!? Maana nimewasha leo asubuh lina mvumo wa hatariHiyo ni antibraking system...
Yeah. Kuna uwezekano mkubwa kuwa brake pads zimeisha. Ni vizuri ukazibadilisha kwa usalama wako na wa chombo chako.Brake hazipo sawa au!? Maana nimewasha leo asubuh lina mvumo wa hatari
Are We Losing Touch? A Comprehensive Comparison Test of Electric and Hydraulic Steering Assist - Tech FeaturePamoja na umeme hydrauric ipo pale pale. Aangalie fuse