Msaada wa haraka dungu zangu, hii ya tanroads.

Matokeo1

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
231
Reaction score
42
Nimepigiwa simu TANROADS MWANZA kwa interview next week, position ya Shift-in-charge, hii ndo interview yangu ya kwanza kufanya tangu nimalize chuo, naombeni mnipe mwanga inakuaje na ni base kwenye misingi ipi kumudu maswali ntakayoulizwa, msaada nduguzanguni.
 
jaribu kupitia job description nauzielewe vizuri,pitia information zote muhimu za tanroads
kuwa na confidance,usiiogope interview panel waone watu wakawaida tu
best of luck mkuu
 
Yaani unataka kuniambia una umri zaidi ya miaka 35 na ujawahi kufanya interview! walisema kwenye hii post waombe kuanzia umri wa miaka 35 mpaka 40! ok, all the best, we tulia tu na uwaoe kama watu wa kawaida tu
 
kaka una umri wa kati ya miaka 35 na 40 au hawa Tanroads waliweka kigezo hiki cha umri ili waepushe barua nyingi za maombi toka kwa vijana wengi?. Na je zile nafasi za Tanroads Kibaha hawajaita?
 
jaribu kupitia job description nauzielewe vizuri,pitia information zote muhimu za tanroads
kuwa na confidance,usiiogope interview panel waone watu wakawaida tu
best of luck mkuu
nashukuru ndugu myangu ubarikiwe kaka
 
Kaka huo umri sina ila nlijaribu zali tu, maana wahenga walisema kujaribu sio kushindwa, nilijiuliza hata kama wasiponiita sintapungukiwa kitu acha nijaribu, pili nikasema wakikosa wenye hicho kigezo cha umri lazima watupie jicho upande wa pili yaani sisi wenye umri mdogo.
 
kaka una umri wa kati ya miaka 35 na 40 au hawa Tanroads waliweka kigezo hiki cha umri ili waepushe barua nyingi za maombi toka kwa vijana wengi?. Na je zile nafasi za Tanroads Kibaha hawajaita?

Kaka huo umri sina ila nlijaribu zali tu, maana wahenga walisema kujaribu sio kushindwa, nilijiuliza hata kama wasiponiita sintapungukiwa kitu acha nijaribu, pili nikasema wakikosa wenye hicho kigezo cha umri lazima watupie jicho upande wa pili yaani sisi wenye umri mdogo.
 
Kwa interview nyingi na kufanikiwa lazima uwe na majibu ya baadhi ya haya maswali;

1. Why do you want to work in this industry?
2. Tell us about yourself.
3. Why are you leaving your current role?
4. Where do you see yourself in five years?
5. What's your greatest weakness?
6. What salary are you looking for?
7. Why should I hire you?
8. What motivates you?
 
5. What’s your greatest weakness?
6. What salary are you looking for?
7. Why should I hire you?
8. What motivates you?

Nashukuru sana ndugu yangu, ubarikiwe, za kibaha nathani bado maana sijazisikia hata jamaa zangu tulioomba nao tunasikilizia, maana hata mimi nilijaribu zali huko kibaha.
 
nimepigiwa simu tanroads mwanza kwa interview next week, position ya shift-in-charge, hii ndo interview yangu ya kwanza kufanya tangu nimalize chuo, naombeni mnipe mwanga inakuaje na ni base kwenye misingi ipi kumudu maswali ntakayoulizwa, msaada nduguzanguni.

mungu akutangulie
kila la heri
 
za arusha tarehe 24.12.2012 saa 3 asubuhi, uende na laptop, vyeti vyako vyote original
 
Nenda kafanye Mungu atakusaidia, na je kuhusu Tanroad Lindi na Dodoma hawajaita? Naomba msaada ktk hili
 
Kaka huo umri sina ila nlijaribu zali tu, maana wahenga walisema kujaribu sio kushindwa, nilijiuliza hata kama wasiponiita sintapungukiwa kitu acha nijaribu, pili nikasema wakikosa wenye hicho kigezo cha umri lazima watupie jicho upande wa pili yaani sisi wenye umri mdogo.

aCHA UWONGO WOTE WALIOKUWA NA UMRI BELOW 30 WALISIMAMISHWA NA WAZIRI MAGUFULI ALITOA AMRI UMRI UWE NI KUANZIA 30 AND ABOVE, YANI WAFUKUZE AFU WARUDIE KUCHUKUA TENA WATOTO
 
Kwa interview nyingi na kufanikiwa lazima uwe na majibu ya baadhi ya haya maswali;

1. Why do you want to work in this industry?
2. Tell us about yourself.
3. Why are you leaving your current role?
4. Where do you see yourself in five years?
5. What's your greatest weakness?
6. What salary are you looking for?
7. Why should I hire you?
8. What motivates you?

Hapo kwenye red pagumu duh!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom