Msaada wa haraka dungu zangu, hii ya tanroads.

Msaada wa haraka dungu zangu, hii ya tanroads.

aCHA UWONGO WOTE WALIOKUWA NA UMRI BELOW 30 WALISIMAMISHWA NA WAZIRI MAGUFULI ALITOA AMRI UMRI UWE NI KUANZIA 30 AND ABOVE, YANI WAFUKUZE AFU WARUDIE KUCHUKUA TENA WATOTO
Kama ndo hivyo umri uwe 30 and above mbona kwenye tangazo lao hakuna huo umri wa 30? umri unaanzia 35 above, mwongo ni mimi au wewe, haaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Mbona huleti feedback about the interview.

Kaka kitu kilikua written maswli kama 50 hivi na yanavipengele mbaya, kwa ujumla yalikua general kila fani utaikuta huko, kisha practical ya computer excel na word, game likaishia hapo mkuu.
 
kwa nini wanataka umri wanaoutaka?
 
Hiyo practical ya excell mliambiwa mmfanye ishu gani[?QUOTE=Matokeo1;5327004]Kaka kitu kilikua written maswli kama 50 hivi na yanavipengele mbaya, kwa ujumla yalikua general kila fani utaikuta huko, kisha practical ya computer excel na word, game likaishia hapo mkuu.[/QUOTE]
 
Wadau naomba kujua kuhusu interview ya tanroad dodoma na lindi imefanyika au bado? niliomba
 
Back
Top Bottom