Msaada wa gym

Msaada wa gym

Ingia road mdada kimbia,jiwekee ratiba asubui na jion,baada ya mwezi utaona utavyobadilika,mazoezi ya kukimbia ni bora sana kwani unahusisha kila kiungo cha mwili wako.
 
Ingia road mdada kimbia,jiwekee ratiba asubui na jion,baada ya mwezi utaona utavyobadilika,mazoezi ya kukimbia ni bora sana kwani unahusisha kila kiungo cha mwili wako.
Nitajaribu kufanya hivyo wangu ila huku kwetu madereva wa boda boda kila kona si watanifyeka miguu!asanten nyote kwa ashauri
 
Ingia road mdada kimbia,jiwekee ratiba asubui na jion,baada ya mwezi utaona utavyobadilika,mazoezi ya kukimbia ni bora sana kwani unahusisha kila kiungo cha mwili wako.

Zoezi zuri ni kuruka kamba.
 
Habarini zenu wana JF?
Jamani mimi tatizo langu ni kwamba najiona kama mambo kunako 6*6 yanaanza kunishinda kwa sababu ya uzito na nimekuwa tipwa tipwa sana kiasi cha kupoteza mvuto sasa nilikuwa maomba kama kuna mtu anafahamu gym yoyote iliyomaeneo ya sinza,kijitonyama au maeneo yote yanayonizunguka na gharama zake mimi naishi sinza white inn atakuwa amenisaidia sana,
natanguliza shukran

ninavyopenda matipwatipwa kunako 6 X6!!! hadi udenda unanitoka
 
Gym peke yake haisaidii....kwanza gym ukifanya bila mpango utaongezeka, maana ukirudi unaweza kula mlo wa mtaa mzima. Kukonda ni kufanya deficit ya in and out, kula kidogo, ile chakula tu ya kukupa nguvu, punguza mistarch na mafuta, kula dinner mapema.

Ongeza harakati, tembea fanya kazi zako za nyumbani mwenyewe usisubiri dadaa
 
Hivi ile gym iliyokuwa hapo Puma Gas Station ( Kijiweni) imefungwa...miaka hiyo naishi Sinza hapo Kijiwe kulikuwa na gym ya Fike...

Kumbe unamnyaka Fike Wilson? Jamaa alikuwa mshikaji wangu sana. Nimepiga sana nondo pale kwenye gym yake.
 
Kumbe unamnyaka Fike Wilson? Jamaa alikuwa mshikaji wangu sana. Nimepiga sana nondo pale kwenye gym yake.

Hahahah my cousin bro used to lift weights with him in his gym...wakati Fike alikuwa anapiga nondo kwa ajili ya kushiriki zile competitions za Mr Tz...bro alikuwa ananyanyua tu kujenga mwili...
Later bro naye akatengeneza ka-gym kake home akaacha kwenda kule Kijiweni
 
Haya hebu tueleze basi mbeb wa ukweli...hivi mtu akikumis anatakiwa afanyaje?
aisee yule ticha wangu wa gym kidogo ataingia line...jana nilimuambia mgongo umeteguka na kiuno anikande kande kakubali...teh teh,,,,ndege tunduni
 
Hahaha kwisha habari yako....

aisee yule ticha wangu wa gym kidogo ataingia line...jana nilimuambia mgongo umeteguka na kiuno anikande kande kakubali...teh teh,,,,ndege tunduni
 
hahaha kwisha habari yako....
kwisha habari yangu au kwisha habari yake? Ni mzuri wewe yaani wewe cha mtoto!kidogo nitaanza kufaidi uumbaji wa mungu aisee...
 
gym paMOJA NA KUKUFANYA FIT UNATENGENEZA SHAPE UTAKAVYO....MVUTO MUHIMU AU UNASEMAJE SUPER MBABY?

Naam...mi napenda sana bodi nzuri na iliyo imara na yenye definition za ukweli hususan kwa viumbe wa kiume. Yaani biceps ipo mahala pake, ina peak nzuri, triceps nazo zinaeleweka, lats za kufa mtu, traps zenye kuonekana vizuri hata ukivaa tisheti inakaa vizuri. Quads za ukweli hata uwe umepiga kaptula au suruali zinajaa vizuri. Forearms flexors na extensors zenye nguvu hata ukimpa mtu handshake anaisikilizia grip yako. Sio mwanaume uwe na grip ambayo haina tofauti na ya dadako...haifai kabisa hiyo.

You na'I mean?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom