Msaada wa gym yenye vifaa vya boxing around maeneo ya Sinza

Msaada wa gym yenye vifaa vya boxing around maeneo ya Sinza

Mpapatu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
221
Reaction score
121
Habari za Asubuhi bandugu, nina shida ya kupata gym yenye vifaa vya boxing around maeneo ya sinza na je bei zao zinaendaje kwa Mwezi. Ahsanteni.
 
Unajiandaa kufumania mkuu? Nimeishi Sinza mda mrefu sijawahi kuona km Kuna gym nzuri, labda ile ya pale Sayansi ingawa sina uhakika km wana vifaa husika
 
Habari za Asubuhi bandugu, nina shida ya kupata gym yenye vifaa vya boxing around maeneo ya sinza na je bei zao zinaendaje kwa Mwezi. Ahsanteni.

Tuwasiliane for details.... si unaniona jinsi nilivyo mbavu?
 
Kipo pale mabatini police wala hulipii, ukifika rusha mawe kama matatu tuu. Utapewa huduma
 
Back
Top Bottom