Ninashida na jinsi yakuwasiliana na Google support service nimepoteza keys za Google authenticator nimejalibu kutafuta mawasiliano nao nimeshindw najua umu siatakosa mwanga karibuni.
Hzo free services hakuna support line. Unaweza tu post kwenye support thread zao na watakupa muongozo.
Ila kwa ninavyofamahamu ukipoteza backup keys za Google authenticator ndio basi tena. Huwezi tena pata access sababu hata Google wenyewe hawazioni hzo keys. Zipo encrypted.
Hii ndio sababu iliyonifanya niache kutumia Google authenticator. Natumia Microsoft Authenticator na Bitwarden. Bitwarden ndio ya uhakika sababu two factor authentication za app uliziongeza bado utakuwa na access nazo hata ukibadilisha simu.

Hapana mkuu ni security yao 2-step verification nili delete account nikasahau na keys zangu watu wengi wana ilo tatizo nimekoma kutumia hii njia password moja inanitosh kwa sasa