Msaada wa fundi wa PC Tanga

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
390
250
Laptop yangu ndani ya hizi siku 3 imekuwa slow sana yaani inafika mahali hata kutafuta file tu kwa kusearch ni kipengele kibaya nime update window tayari na inasema no action need sasa leo nimeamka kuanzia saaa 12 asubuhi ili nijisome ila mpaka sasa hivi hilo file la kusemea sijalipata.

Ukirestat ndio utajuta yaani hata ile sehemu ya kwanza ile unayotakiwa uweke password ili pc ijifungue inaweza ikakaa ndani ya dakika 30 sasa sijui nini tatizo yaani halafu kibaya kwasasa nipo Tanga bora hata ningekuwa DSM mafundi nawajua katika kuforce force mzee baba imekuja hii kitu naona hadi njaa inauma hata hamu ya kusoma imeisha.

IMG_20200920_072528.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom