manyanga21
Senior Member
- Aug 15, 2018
- 173
- 211
Nina home theater kampuni ya LG spika ya bass haifanyi kazi ghafla, spika ndogo pekee ndizo zinazofanya kazi. Msaada wa fundi nzuri
Asante mkuu, nimecheki naona ishu badoMkuu Umeangilia Nyaya Zote Zipo Vema Kwenye Matundu Yake
Mimi Ninayo Sony Kuna Nyakati Speakers Ndogo Hazipigi
Ninachofanya Nachomoa Nyaya Naweka Tena Mambo Safi
Jambo Jingine Angalia Remote Yako Upande Wa Sounds
Isijekuwa Umechagua Zitoe Mdundo Nadhani Kuna Kitu Inaandika Channel
Zinaimba Mbili Ama Vinginevyo,
Kupata fundi nzuri changamoto kuna fundi nilimpa ameshindwa nimekuja kwenye jukwaa hili kumtafuta funzi nzuriUkitaka fundi nzuri jaribu kuitafuta mtaani ziko nyingi tu mkuu, hilo tatizo litakuwa dogo la kawaida.
Sasa unataka nini, "funzi nzuri" au "fundi nzuri"?!Kupata fundi nzuri changamoto kuna fundi nilimpa ameshindwa nimekuja kwenye jukwaa hili kumtafuta funzi nzuri
Yote sawaSasa unataka nini, "funzi nzuri" au "fundi nzuri"?!
Cc kelphin pitia hapa
Hongera sana mkuu kwa kujifunza vyote hivyo.Mafundi wengi ni makanjanja sana.
Haya mambo ya Computer, nilimpelekea fundi kupiga windows anapiga kwa kujishaua, ukimwambia niwekee software anaweka browser zingine hela. Tatizo dogo pesa ndefu...
Shida ilikuwa home theater yenyewe nashukuru nimeilekebisha tayariNmeona mkuu
Pole kaka [mention]manyanga21 [/mention]
Shida yaweza kua spika au home theater
Je spika una uhakika kama ni nzima? Kama ndio basi shida ni dek yake
Ikumbukwe kua ht zinatengenezea kwa technology ya juu na nzuri
Hivyo kama ingekua ime short circuit definitely inaweka protection
Thus natak kujua km ni uhakika spika ni nzima