IrDA JF-Expert Member Joined Aug 26, 2010 Posts 745 Reaction score 361 Mar 29, 2014 #1 Habari wadau, Ipod yangu ilidondoka kwenye maji na sasa haiwaki. Je! wapi naweza kupata fundi mzuri wa kuitengeneza
Habari wadau, Ipod yangu ilidondoka kwenye maji na sasa haiwaki. Je! wapi naweza kupata fundi mzuri wa kuitengeneza
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Oct 30, 2014 #2 vipi ulipata?
Lord Lofa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2011 Posts 2,525 Reaction score 2,802 Oct 30, 2014 #3 Mi yangu ki sehemu cha kucharge kimezingua sijui mafundi wazuri wanapatikana wapi tusaidiane jamani
Lord Lofa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2011 Posts 2,525 Reaction score 2,802 Oct 30, 2014 #4 prakatatumba said: vipi ulipata? Click to expand... Mi yangu ki sehemu cha kucharge kimezingua sijui mafundi wazuri wanapatikana wapi tusaidiane jamani
prakatatumba said: vipi ulipata? Click to expand... Mi yangu ki sehemu cha kucharge kimezingua sijui mafundi wazuri wanapatikana wapi tusaidiane jamani
Singida ndio home JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 3,188 Reaction score 3,379 Oct 31, 2014 #5 mkuu hiyo ipod yako ingiza kwenye debe la mchele dry kwa siku nzima mana mchele huvuta maji nshawai kujaribu hio njia inaitwa rice trick
mkuu hiyo ipod yako ingiza kwenye debe la mchele dry kwa siku nzima mana mchele huvuta maji nshawai kujaribu hio njia inaitwa rice trick