Msaada kwa anayetaka tufanye kazi wote au mwenye nafasi za kazi za Mkandarasi wa umeme na Mitambo

presider

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
1,195
1,553
Habar wakubwa kwa Wadogo,

Mimi hapa mbele yenu n mkandarasi (Registered Contractor) upande wa Umeme na Mechanical (Mitambo).

Nimekuwa Registered mwaka jana. Kabla ya kuwa Mkandarasi nilikuwa ninafanya kazi za ukandarasi kwa kutumia company za rafiki zangu mbali mbali kwa muda wa Miaka 10.

Kampuni yangu ina uzoefu sana upande Mechanical works kama Earth moving Machine, Air compressor, Metal works and Fabrication, Hdraulic works, installation of Elevators na Generators. Kwenye nyanja za Engine tunafunga engine yoyote kwa ukubwa wowote iwe kwa Machine yoyote. Pia tunafanya kaz mbali mbali za Hydraulic system.

Upande wa Electrical tunauzefu wa Small, Home na Industrial current/Voltage. Tunafanya pia wirring kwenye Majumba na Magorofa na Viwanda.

Tunatengeneza Control panel na Power factor za kila aina kutokana na Mahitaji ya wateja wetu.

Nimekuja mbele yenu wakubwa kwa Wadogo kuomba nafasi ya mtu yoyoye ambaye ana conection yoyote ya kupata kazi hizo hapo juu au aje tufanye wote au atupe connection tu.

Kampuni ina vibali vyote
 
Back
Top Bottom