KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 278
mnalipia wapi hapa tz?
Mkuu jaribu kuwasiliana na Mohamed Shossi naamini atakusaidia.
Ni member humu jfcontact zake au naye yumo humu jf
Ni lazima uwe na Decoder ya AbudhabSports na uwe umeilipia!!!
Malipo yao ni mwaka mzima; kiasi cha US$ 100.
Ni member humu jf
Mkuu kwa hz frequency unatumia LNB za aina gani?Adu Dhabi Sport
satelite -Hotbird
Frequency 11623 v 27500
Satelite-Bird
Frequency 11804 H 27500
Satelite-Nilesat 102 Egypt
Frequency 12054 V 27500
Satelite-Nilesat201 Middle East
Frequency 12092 V 27500
Decoder ya ADSPORT inapatikana Dar bei yake ni wastani wa sh. 550000 ikiwa na malipo ya mwaka mmoja.Vile vile unaweza kununua Card ya Al Jazira Sport ukaitumia kwenye hiyo decoder kwani inauwezo wa kutumia kadi mbili kwa wakati mmoja.
Kama upo mbali na Dar unatakiwa kuwa na Dish kubwa mpaka sm 240 ili uweze kukamata signal za ADSPORT .Beam yao inatakiwa kuishia Somalia.