Njuka II
JF-Expert Member
- Feb 25, 2019
- 425
- 746
Tuko pamoja ndgMtaalamu. Nakukubali sana.
Tuko pamoja ndgMtaalamu. Nakukubali sana.
Mwamba kama mwamba, aise mkuu hivi kuna kitu chochote kinachokushinda kwenye hii program?Wakilingana anachukuliwa wa kwanza, ili wasilingane ile rank value inabidi uiongezee na SN/1000 au SN/10000 ili kuipa decimal points. Mfano kama mtu wa SN 10 na wa SN 100 wana wastani wa 100, huyu wa SN 10 atakuwa na 100+10/1000=100.001 na huyu wa SN 100 atakuwa na 100+100/1000=100.1
TUMIA COUNTIFHivi ukitaka jua jinsi Me wangapi wamefanya mtihani utatumia formula gani mfano A nimeweka jinsi na B nimeweka marks
CountifHivi ukitaka jua jinsi Me wangapi wamefanya mtihani utatumia formula gani mfano A nimeweka jinsi na B nimeweka marks
=Countif(a:a,"me")Hivi ukitaka jua jinsi Me wangapi wamefanya mtihani utatumia formula gani mfano A nimeweka jinsi na B nimeweka marks
hahahahaHamna mtu hapo
Maua ya kutosha Mkuu 💥💥Wakilingana anachukuliwa wa kwanza, ili wasilingane ile rank value inabidi uiongezee na SN/1000 au SN/10000 ili kuipa decimal points. Mfano kama mtu wa SN 10 na wa SN 100 wana wastani wa 100, huyu wa SN 10 atakuwa na 100+10/1000=100.001 na huyu wa SN 100 atakuwa na 100+100/1000=100.1
Nimeyapokea mkuuMaua ya kutosha Mkuu![]()