Msaada wa E mail kugoma kufunguka kwenye simu GT-S6102

Msaada wa E mail kugoma kufunguka kwenye simu GT-S6102

Kennedy

Platinum Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
62,992
Reaction score
77,292
Salam !

Naomba kwenye kujua tatizo laweza kuwa ninni
maana hapo mwanzo nilikuwa nafungua vizuri
Mail,ingawa hii simu wakati nainunua mpya
ilikuwa na Opera Min ingawa sikuwa naitumia
kwa kusoma & kupokea Mail.


Kuna siku nilisaini in kwenye Opera Min
nikawa nasoma vema tatizo likawa ninapotumiwa
taarifa yenye attachment za picha/ama zozote
naambiwa sitaweza kuziona.

Nikaona ni vizuri nirudi kufungua kama
zamani kwa Gmail hapo inachukua nusu
saa ina search bila mafanikio yoyote
Lengo kubwa hapa niweze kusoma
na kuona attachment.
Kupitia Gmail kama mwanzo.

Tafadhali kwa wana teknolojia mnaofahamu
tatizo hili naona kujulishwa .

Shukrani kwa wote !
 
Back
Top Bottom