Msaada wa dharura wa kimapenzi

Msaada wa dharura wa kimapenzi

Moja kwa moja kwenye mada;
Naombeni mnisaidie haya maneno nitayaandikaje kwa kifaransa,nataka nimtumie sms
"mapenzi ni kama ajali,huweza kutokea sehemu yeyote ile.Moyo wangu umejawa na furaha ya kukupenda ghafla mara baada ya kukuona,uzuri wa umbo lako na sura yako ni wa kipekee sana.Hakuna mwanamke hata mmoja hapa tanzania wakuweza angalau kupapasia uzuri wako,nakupenda sana,wewe ndiyo mwisho wangu wa reli ya kigoma"
Naomba majibu
Ahsanteni wakuu,mkinisaidia lazima niende MAYOTTE kuipeperusha bendera,mtoto wa kifaransa lazima atambue uwezo wetu
Was was ni neno kigoma linaandikwaje kwa furainswaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom