Msaada wa connection field ya Social Sciences

Yupo jack, haruna. Muronda kaend kuchkua phd ujerman
sisi ntulifundshwa na madam ANGEL DILIP muhindi hivi tulipofika mwaka wa3 akaacha kbs kufundsha akaendelea na mishe zake nyngne
 
ukiwa COSS kila kitu kupambana km unaomba Ajira vile ila wengine wanapangiwa km wale wa BAED, Archeology na Heritage management
Lol!! Hapo umemnfunguaaaaa. Ngoj nkapambane taasisi moja matata sanaaaa mikocheni nkimaliza waone na kaumuhim kidogooo
 
yaani kwa kozi kama hii nchi kama hii sijui hata kama magufuli anaitambua ila ni discipline nzuri tatizo lipo kwenye uelewa wa waajiri
 
Point of correction,,,sio PSSF ni PSSSF kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…