UDSM Alumni
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 2,555
- 1,389
medical mkuuUmespesholaiz kweny nn medical au
Anhaaa doh!! Wengn ndo tuko humo mwak w 2 sasmedical mkuu
bila connection imekua changamoto mkuuPeleka barua za kujitolea katima maeneo hayo uliotaja??
sawa mkuu ngoja niwasubiri hali sio nzuri mtaani
nilijua connection tayari nimepataAnhaaa doh!! Wengn ndo tuko humo mwak w 2 sas
social science na medical kuna uhusiano gani au unataka kudanganya watumedical mkuu
mkuu mimi nime specialize kwny medical anthropology aliyeniuliza kaelewa vizuri tusocial science na medical kuna uhusiano gani au unataka kudanganya watu
sawamkuu mimi nime specialize kwny medical anthropology aliyeniuliza kaelewa vizuri tu
mkuu social science na medical wapi na wapi?mkuu mimi nime specialize kwny medical anthropology aliyeniuliza kaelewa vizuri tu
ndio ipo ivo mkuu mimi nimespecialize kwenye medical anthropology japo course inaitwa bachelor of arts in anthropology , college of social sciences derpartment of sociology and anthropology..........naombeni connection wakuu ya kuvolunteer tumkuu social science na medical wapi na wapi?
mkuu sipo vizuri uko lakini naweza kuperform vizuri sn nikipewa nafasiupande wa benefits na social securities laws na pia vision au tally account huko nondo?
Swali hili ndo linasababisha medical anthropologist ngum kupata kaz. Watu wengi hawana uelew wa hii discipline. Hivyo vitu vinaenda sambamb yani ndio hiyo inautwa 'public health'mkuu social science na medical wapi na wapi?
we upo chuo gani mkuuSwali hili ndo linasababisha medical anthropologist ngum kupata kaz. Watu wengi hawana uelew wa hii discipline. Hivyo vitu vinaenda sambamb yani ndio hiyo inautwa 'public health'
Ni kwa vipi social-cultural life inaathiri afya ya mtu!!? Na huyu mtu anaelew nini kuhus ugonjwa anaoumwa!!?
Dokta anajua dalili na kupima na kumpa daw mgonjwa Tu, mgonjwa anawez kuwa na mtazamo tofaut ingaw yupo zahanati kapimwa. Discipline hii hutumika kujua sabb z magonjw y mlipuko kukaa mda mref baadhi y maeneo na mda mfup maeneo mengine!. Shortly hat ugonjwa mpya kutafitiw chanzo,sabb na dalili zake wanafanya hiyo kaz hao watu
Udsmwe upo chuo gani mkuu
Kajrib zali lako mdh mikochen kwa mwalim unawez pata maan hr wao pisikali alafu han hiyanawe upo chuo gani mkuu