Msaada wa chupi na brazia nzuri kwa mwanamke

Msaada wa chupi na brazia nzuri kwa mwanamke

mna nn jaman na ile avatar😊😊bas wadada wengi waliielewa balaa mtuache tu....binafsi mie ni mpenzi sana wa ndevu..huwa namuadmire HASHIM RUNGWEEE

Hahaha, natamanigi nifanye mishe zinazoniruhusu kufuga ndevu aisee.

Ziwe kama za kwenye avatar yangu.
 
Nenda kariakoo karibu na kanisa la kkkt huo mtaa wanauza vitu dizaini iyo,Kuna boksa,vyupi nk ni wewe tu,ila mzee baba maduka mengi ya vyupi wauzaji wake ni madada na wamama sijui utaanzaje hapo kuulizia iliyokuwa bora
 
Back
Top Bottom