Msaada wa chupi na brazia nzuri kwa mwanamke

Msaada wa chupi na brazia nzuri kwa mwanamke

Habari wa jf, natumani wote nyiye ni wazima sasa nilikuwa naomba hasa kwa wanawake wanisaidie aina za chupi nzuri zilizo kwenye trend kwa sasa hivi pamoja na brazia nzuri lengo ni kumnunulia zawadi mpenz wangu. Naomba unitajie aina ya chupi ikiwezekana hata picha pamoja na sehemu wanapouza na hata bei kama ikiwezekana wakuu.Naomba kuiwasilisha kwenu hili ombi langu

Msisahau mimi ni mwanaume jamani
Nenda Kasandra kwa mwl. Nyerere msasani.
 
1094627
Hii vp inamtosha?
 
Back
Top Bottom