Bob
JF-Expert Member
- Sep 10, 2007
- 293
- 63
Asante sana Bob Lee Swagger kwa maelezo yako mahsusi. It is the framework agreement that was signed on 24 March 2013.see the link:http://www.cmhi.com.hk/Detail.aspx?D=24,3316,54,54
Wachina wangesema tuwaachie wake zetu kama sehemu ya masharti ungetoa hii comment au ungekuwa wa kwanza kuitisha maandamano?Basi tujengee wewe hiyo bandari bila masharti
Mbona mnatishika na vinyago mnavyochonga wenyewe, Mtoa hoja kumbuka facts zifuatazo:
Bado multiplier effect itawanuafaisha wamatumbi, mkumbuke efficient ya Bandari ya Dar ni pasua kichwa kama wachina wanajenga ni bora kuliko kuziba viraka viraka.
- Hakunaga free lunch
- Kila mla vya mwenzie nae vyake huliwa
- Mtwara is far more than 200 km from Bagamoyo
- Haiwezekani hela watoe wao mjenge nyie na je mlishawahi kujenga wapi bandari manake hata hii ya Dar upanuzi ulifanywa na wa Neitherland
- Bandari ya mwanzo bongo na East Africa ilikuwa Bagamoyo
Basi tujengee wewe hiyo bandari bila masharti
Wana JF,
Taarifa hii nimeipata sehemu na nimeona tushirikishane kwa nia ya kupata ushahidi zaidi juu ya Masharti ambayo Serikali ya China imetoa kwa Tanzania katika kile kilichotajwa kuwa Misaada isiyo na masharti magumu kwa nchi yetu.
Tatu; Serikali ya watu wa China watatakiwa kuendesha bandari bandari hiyo kwa muda wa miaka 50 ili Kurudisha mkopo uliotolewa kwa ajili ya ujenzi wa mradi huo.
.
Kuna hii makitu inatwaga CONFLICT OF INTEREST... Lets wait bungeni. Na hivi magesti yanakuwaga mengi humu we subiriUle mradi mkubwa wa kujenga bandari ya Tanga umekufa rasmi juzi baada ya siri kuvuja kuwa serikali ya China imeamrisha serikali ya Tanzania kutojenga ile bandari mpaka miaka 40 ipite kwakuwa watakuwa wanaendesha bandari ya Bagamoyo.
Hizi habari zimeshaanza kupata kasi ya ajabu na kama Mwakyembe, Nagu, Membe, Ikulu na Pinda wakiendelea kukaa kimya kama ilivyokuwa Mtwara then tutajua kama ni kweli.
Natumai kusoma toka kwa Mbunge wa Tanga na wanaTanga wakitoa ufafanuzi juu ya hili.
kama ni kweli basi kilichobaki kwa watanzania ni kuwa manamba wa kichina!
sio anajidhalilisha yu uchi hapo alipo.Mkuu unajidhalilisha.
i dont believe this info ila kama ni kweli, then hatuna rais wala serikali wala system, haiwezekani watanzania tuliowakabidhi ofisi za serikali na wengine waalimu wavyuo vikuu tena wasomi wanaoheshimika wote wakubali hili kimba kabisaWana JF,
Taarifa hii nimeipata sehemu na nimeona tushirikishane kwa nia ya kupata ushahidi zaidi juu ya Masharti ambayo Serikali ya China imetoa kwa Tanzania katika kile kilichotajwa kuwa Misaada isiyo na masharti magumu kwa nchi yetu.
Naomba wenye taarifa juu ya hili JF watuweke wazi, maana maaana China ya Mao na Tanzania ya Myerere sio za sasa. Kuna mabadiliko makubwa sana ya sera za kiuchumi.
kama ni kweli basi kilichobaki kwa watanzania ni kuwa manamba wa kichina!