Msaada wa biashara na Amazon

NAXFRA

JF-Expert Member
Jul 28, 2011
392
74
nimepublishi vitabu viwili kupitia amazon/kindle publishing direct,, imeniwia vigumu kusabmit taarifa za benk yangu, maana wanaomba vitu abavyo sina kabis. Mfano check namba, mwenye uelewa anisaidie, maana nawasiliana nao kwa email kila wkinipa option zao, jina la nchi ya Tanzania haliji

matusi na kejeli vinaruhusiwa, ilimradi mie nielewe tu
 
Back
Top Bottom