Abdul Bilal
Member
- Jul 29, 2017
- 88
- 15
Kuna audio fulani ni ya muda hivi, jamaa anaitwa chika i think, anasema "nimeshafika dar sasa tuonane"
Mwenye nayo au link atupie
Mwenye nayo au link atupie
Kwani katika kusikiliza kuna tofauti?Wewe ni wa dar au mkoani kwanza?
Ok,sawa boss.Kwani katika kusikiliza kuna tofauti?
Mm sipo tz kabisa boss
Kama unaipata weka link plzOk,sawa boss.