Msaada wa adobe programs

Mar 26, 2018
76
38
Jamani Wana JF naomba msaada wa kupata softwares za Adobe kama nne hivi, Primeere Pro, Illustrator, After Effects.
For free, Maana kuna ambazo nilizipataga kwa mdau zikawa zinataka licence key So ikawa ngum kuziinstall kwenye computer yangu. Naomba mwenye kunipa msaada wa kuzipata free
 
Wala usimshutumu jamaa sbb yupo sawa. Computer engineer ni jina kubwa kuliko unavyofikiri.
Being An Engineer ina maana ni graduate tayari of whom ni lazima atakuwa kapita field hapa na pale, nachoshangaa ni huko kukosa network na wenzie, ndo maana unaona wengi wamepita kimya kimya, nahisi wenye watu wenye certificate tu ya computer watakuwa wamemtusi!
 
Mm sijasoma masuala ya computer, sina hata certificate lkn nikihitaji software yyte napata iwe na key au ni crack. Nashangaa huyu engineer anashindwa vipi? Anyway ndiyo ma-engineer wetu hawa. Ni tabu tupu
 
Brother kuna mahali watunga sera waliteleza kidogo, taifa lolote duniani likitaka kustawi na kuwa na nguvu mara zote ni lazima liwekeze kwenye elimu seriously...
Mfumo wa elimu wa wenzetu umenyumbulika vizuri na mitaala ya elimu husika inalenga kupanua uelewa wa mwanafunzi,kumwongezea wigo wa udadisi na shauku ya kuchimba na kuhoji zaidi...
Hapa kwetu wameleta hadi multiple choice kwenye hisabati tutegemee kupata wahandisi wa aina gani, tutegemee kupata matabibu wa aina gani,tutegemee kupata wataalamu bobezi wa nyanja zote kutoka wapi kama si taifa la kizazi kisichokuwa na utamaduni wa kuhoji na hulka za kikondoo!
 
Jamani Wana JF naomba msaada wa kupata softwares za Adobe kama nne hivi, Primeere Pro, Illustrator, After Effects.
For free, Maana kuna ambazo nilizipataga kwa mdau zikawa zinataka licence key So ikawa ngum kuziinstall kwenye computer yangu. Naomba mwenye kunipa msaada wa kuzipata free
Nnazo Adobe CC 2017 za Window zina key genereta. Ila pc usiunge na internet. Ntakuuzia kishkaji tu elfu kumi kila moja. Premiere Pro, InDesign, Illustrator, After Effects, Audition, Animator na Photoshop. Nitafute tuongee
 
Being An Engineer ina maana ni graduate tayari of whom ni lazima atakuwa kapita field hapa na pale, nachoshangaa ni huko kukosa network na wenzie, ndo maana unaona wengi wamepita kimya kimya, nahisi wenye watu wenye certificate tu ya computer watakuwa wamemtusi!
JF tuna uhuru wa Majina yoyote, okey nina BA Special Needs Education, But nina knowledge nilojifunza mwenyew za Blog designing And websites, Graphics designing and online marketing so kama unahitaji service yoyote hapo buree njoo PM
 
Wala usimshutumu jamaa sbb yupo sawa. Computer engineer ni jina kubwa kuliko unavyofikiri.
JF tuna uhuru wa Majina yoyote, okey nina BA Special Needs Education, But nina knowledge nilojifunza mwenyew za Blog designing And websites, Graphics designing and online marketing so kama unahitaji service yoyote hapo buree njoo PM
 
JF tuna uhuru wa Majina yoyote, okey nina BA Special Needs Education, But nina knowledge nilojifunza mwenyew za Blog designing And websites, Graphics designing and online marketing so kama unahitaji service yoyote hapo buree njoo PM
Hongera lkn hilo jina haulijalitendea haki hata km unajua. Mm ktk vitu unavyofanya siwezi hitaji huduma yako sbb vitu vyote vinapatikana buree. Ni mtu na kichwa chake
Unafanyaje kazi zako hata hujui jinsi ya kupata software? Mm sijasomea lkn ukihitaji software yyte nakupatia iwe na key au crack.
N.B
Computer engineer ni mtu mkubwa sana. Ww ndiyo tungekuwa tunakuuliza jinsi ya kupata software
 
wabongo mnajua matumiz ya lugha kuliko team work na kusaidiana so mtu anataka software unaanza kudeal na jina hizo akil matope ndo nyie mtu anazama baharin manpiga picha kwanza, Kwan ww imekuuma nn mm kutumja jina hilo, okey kama hauna software au haina link ya kuzidownload piga kimya, coz mm mwenyew nmezidownload lakin zkawa zinahtaj hivo vitu so ndo nkawa nahtaj kampan kwa wadau ya links ya kuzipata free. Kaa kimya au anzisha uzi wako kama unajua sana mzee
 
Tatizo unalalamika sana. Ni sawa na dereva halafu unauliza jinsi ya kuweka gia namba 1. Watu wanashangaa iweje computer engineer aulize jinsi ya kudownload adobe.
N:B
Jaribu kutumia jina la computer engineer effectively ni sawa na kujiita msanii wa muziki na hajui kuimba watu watakushangaa. Ndiyo tatizo la kujiita ita majina ambayo taaluma yake haujasomea
 
JF tuna uhuru wa Majina yoyote, okey nina BA Special Needs Education, But nina knowledge nilojifunza mwenyew za Blog designing And websites, Graphics designing and online marketing so kama unahitaji service yoyote hapo buree njoo PM
Sawa...mimi ni capitalist siamini katika bure...once nikihitaji service nitachangia...by the way, mzima lakini?
 
Tatizo unalalamika sana. Ni sawa na dereva halafu unauliza jinsi ya kuweka gia namba 1. Watu wanashangaa iweje computer engineer aulize jinsi ya kudownload adobe.
N:B
Jaribu kutumia jina la computer engineer effectively ni sawa na kujiita msanii wa muziki na hajui kuimba watu watakushangaa. Ndiyo tatizo la kujiita ita majina ambayo taaluma yake haujasomea
Acha taarab jombaa sijakuuliza jins ya kudownload nmeuliza wapi ntapata setup ya hizo programs zisizohitaji licence keys, watch your tongue kwahiyo nishindwe kujua namna ya kudownload, after all down look me down coz nina knowledge kubwa ya computer kuliko hata hao walizozisomea na kama unashida na programing language kama HTML na zingne usisite kunicheki maana unaonekana muongeaji sana af hujui mambo, neno computet engineer limekuwasha sana au una certificate ya computer ukajifunza kudownload na kuintall VLC unajifanya mtaalam. Usijifanye mtaalam wa computer kumbe nanga tuu, am sure huna utaalam wowote ila kujua kakitu flan ushajifanya mjuaji,
 
Ww andika ujuavyo lkn hilo jina la Computer engineer litendee haki. Nyie ndiyo wale computer engineers hamjui hata kupiga window. Hata hizo software ambazo hazihitaji key zina jina lake. Pole sana
 
Back
Top Bottom