Msaada vodacom customer care | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada vodacom customer care

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by neyl, Nov 28, 2011.

 1. neyl

  neyl Senior Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  habari, me nmegraduate sheria juz juz tu, nlwah kusikia tetesi kwenye daladala kwamba vodacom pale mliman city kuna nafasi za kumwaga za customer care ila wanalipa mshahara mdogo, jaman kwa mwenye details ni kwel? me natafuta kaz hata ya lak na nusu kwa mwez nafanya
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Hivi huwa ni ngumu kwenda kwa ofisi kuonana na maHR kuongea nao mawili matatu kuhusu kazi na utaratibu mzima wa kuapply?
   
 3. k

  kishanshuda Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Vodacom customer care mshahara wao ni 500,000 tshs kasoro 5000, that means ni 495,000 /= tshs, hiyo ni mpaka mara ya mwisho niliambiwa na rafiki yangu anayefanya huko, na hiyo ilikuwa July this year, kwa wewe unayeanza si mbaya kwa hela hiyo,itakusaidia kuipendezesha CV yako na hata kuweza pata nafasi ya kazi kwingine, mwanzo mgumu mpendwa, just nenda, na kwa urahisi peleka CV yako kwa erolink

  ALL THE BEST AND GOOD LUCK
   
 4. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  All the best
   
 5. c

  christer Senior Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  peleka cv yako erolink pale morroco hao ndo agent wa kurecruit customer care vodacom
   
 6. nyotanjema

  nyotanjema Senior Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  peleka ila usibweteke tu mimi nimefanya karibu miaka miwili sasa toke nipo chuo mwaka wa kwanza kama pt but ile kazi haina tija ila kama unatafuta uzoefu ni bora uombe mahali ufanye intern .all da best
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  sa kwa mshahara huo c bora mtu uingie zako jeshini ukale maisha.
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  kuna dada akiingia pale km wewe 2007 alikuwa na degree ya sheria, after six month akapata zali akahamishiwa kitengo cha sheria cha voda mpaka leo yupo! so usikate tamaa kwa kuanzia si pabaya
   
 9. N

  NYAGI DRY JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  jinsi ya kupata huo mchongo wa kuingia ndo ki2 kinacho hitajika!
   
 10. k

  kishanshuda Member

  #10
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  we peleka cv yako pale erolink, huwa wanaita mara kwa mara, haina hata haja ya mchongo kwa hao customer care, just go there, Moroco

  ALL THE BEST
   
 11. j

  juve Member

  #11
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vip ndugu yangu umefatilia issue mi ya kweli?
   
 12. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #12
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,589
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280
  Duh!!!!!!! unashindana na Dada?
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  kuna ubaya akishindana?
   
 14. ropam

  ropam Senior Member

  #14
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  takula kwake arifu!
   
 15. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #15
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  4m 6 liva, vp mnanshaur niende peleka ma cv
   
 16. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #16
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,246
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Peleka wanachukua hadi 4m 6 ila make sure unamwaga ung'eng'e fluently na uwe mtamu kwenye computerhizo ndio silaha.. bora ujaribu kuliko kuacha.. Komaaa nao
   
 17. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #17
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Pia peleka Spanco wakala wa eyateli ... wao wanalipa kwa masaa yaani kila saa 12,000/-
   
 18. M

  McMoze Member

  #18
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  So mkali, unaweza tupa direction jinsi ya kufika hapo SPANCO. i'll appreciate
   
 19. N

  NYAGI DRY JF-Expert Member

  #19
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Kaka,12000,au 1200 kwa saa ok poa 2pe direction 2wasome j3 kaka! Coz hapa kitaa hakukalik kaka!
   
Loading...