Msaada: VETA Mikumi level three wanaanza masomo mwezi gani?

Msaada: VETA Mikumi level three wanaanza masomo mwezi gani?

ngwiru

Member
Joined
May 9, 2017
Posts
16
Reaction score
16
Jamani nilikuwa nahitaji msaada wa kujua chuo cha ufundi Mikumi nilikuwa nahitaji kujiunga hapo mwakani level three kwa fani ya umeme kwa anayejua naomba anipe taarifa wana anzaga mwezi wa ngapi.

Natanguliza shukrani kama nitapata taarifa
 
Masomo ni emediatetly january. Veta zote. Na mitihani ni May/june na term ya pili ni Nov/Dec
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom