MSAADA: Utaratibu wa kufungua kesi ya madai.

Tsyamatsy

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2023
Posts
308
Reaction score
454
Samahani wakuu naomba kueleweshwa nilifunguliwa kesi Kuhusu mirathi, kesi ya madai kuanzia mahakama ya mwanzo nikashinda, mdai akakata rufaa mahakama ya wilaya Napo akashindwa, akakata rufaa mahakama kuu, pia akashindwa.
Katika hukumu mahakama zote iliamriwa nilipwe gharama, lakini sikuweza kudai gharama Kwa muda huo kwani mdai alikuwa anakata rufaa mahakama ya juu. NI miaka 4 sasa imepita toka hukumu ya madai ya mahakama kuu iliyonipa ushindi lakini nilishindwa kudai gharama wakati huo kwani alipoona ameshindwa, mdai aligeukia kunifungulia kesi ya jinai, nayo imekwisha Kwa hakimu kuniona sina hatia.
Pamoja na hapo hajaridhika wamekata rufaa mahakama ya juu na kesi bado inaendelea.
Je, naweza kuanza kudai gharama za kesi zile za madai Kwa sasa NI miaka 4 imepita au nimechelewa?? Au nisubiri adi hii rufaa ya jinai itamatike?
 
Umechelewa mkuu. Madai ya gharama ni ndani ya siku 60 toka uamuzi wa kudai gharama ulipotolewa. Kwa hiyo wewe umechelewa kwa miaka 4
 
Chukua hukumu ya Mahakama Kuu, nenda Mahakama ya mwanzo ukafungue shauri la gharama. Na uorodheshe gharama zote Hadi juu.
 
Too late subiri ushinde hiyo walio kufungulia sasa hivi alafu papo hapo kafungue kesi ya madai

Nje ya mada mbona wakugande hivyo what is wrong with you.
 
Too late, unajua mahakama kuu wametoa hukumu lini?
Na hata kama muda umepita toka HC judgement itoke, Bado anaweza omba extension.

Na kumbuka Hiyo Kesi ya Sasa ni ya jinai.
 
Mkuu kama umesoma vizuri maelezo ya mtoa mada, amesema imepita miaka 4 sasa toka hukumu ya mahakama kuu ilipotoka. Ndio maana wadau wanasema kuwa amechelewa, ku-account miaka 4 (kila siku) sio kitu kidogo.
 
Back
Top Bottom