Msaada: Utambuzi wa betri orijino za Samsung

vallentino86

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
532
211
Habari zenu wadau wangu wote wa JF, natumaini wote ni wazima wa afya na familia zenu. Samahani kwa usumbufu wowote nitakaosababisha ila naomba msaada wenu ni jinsi gani nitaeza kulitambua betri orijino la Samsung Galaxy Note 3 kwa maana kila ninunuapo baadae nakuja kugundua sio lenyewe alafu hua yanavimba baada ya muda fulani pia yanafanya simu yangu kuzima. Asanteni na nawatakia usiku mwema ninyi nyote na familia zenu.
 
Unanunua wapi?
Nakushauri nenda kwa wakala waliopewa dhamana na kampuni husika ya Samsung acha kuokoteza
 
Hanari zenu wadau wangu wote wa JF, natumaini wote ni wazima wa afya na familia zenu. Samahani kwa usumbufu wowote nitakaosababisha ila naomba msaada wenu ni jinsi gani nitaeza kulitambua betri orijino la Samsung Galaxy Note 3 kwa maana kila ninunuapo baadae nakuja kugundua sio lenyewe alafu hua yanavimba baada ya mda fulani pia yanafanya simu yangu kuzima. Asanteni na nawatakia usiku mwema ninyi nyote na familia zenu.
Upo mkoa gani?
 
Nimeona hii kitu Youtube, Samsung wametoa ki-clip ili kuzitambua bidhaa zao origino.
Kuanzia simu, chaji, waya, betri, usb, kichwa cha chaji na nembo ya Samsung.

Ingia Youtube, search 'Samsung, 10 ways to spot the fake and original product'
Utapata unachohitaji...ila note 2, 4 na S8 tumepigwa sana aisee.
 
Nenda kwenye maduka ya maajent halisi wa samsung. Angalizo hapo ni changamoto ya kukutana na maajent feki. Kingine, mara nyingi kuna utofauti mkubwa wa bei kati ya OG na feki.

Shida iliopo ni wengi wetu tunavutiwa kirahisi na vitu vya bei rahisi. Jamaa yangu alienda posta mpya kucheki chaja ya samsung kaambiwa ni elf 30-40 hivi. ye akaona ni hela ndefu, mwishowe kachukua ya chini ya elfu 10!. japo inapiga mzigo lakn sidhan kama na itakuwa na uimara na ufanisi kama wa chaja yenyewe OG.
 
Posta ni kawaida yao,vitu feki wanauza ghali. Mfano hiyo chaja alionunua hazina tofauti na za kkoo.
Kama mtu anataka chaja OG aende kwenye maduka ya samsung au anunue used kutoka kwa mtu aliepata kwenye simu.
 
Nimeona hii kitu Youtube, Samsung wametoa ki-clip ili kuzitambua bidhaa zao origino.
Kuanzia simu, chaji, waya, betri, usb, kichwa cha chaji na nembo ya Samsung.

Ingia Youtube, search 'Samsung, 10 ways to spot the fake and original product'
Utapata unachohitaji...ila note 2, 4 na S8 tumepigwa sana aisee.
Sawa, asante kwa ushauri
 
hakuna battery original bongo kuna zenye afadhali na mbovu kabisa. na ukizipata almsot huwezi zitofautisha na fake.

hapa naangalia brand nzuri kama anker battery ya note 3 wanauza dola 22 huko marekani amazon, ilete mpaka bongo eka na kodi na faida itafika 80,000.
 
Nimeona hii kitu Youtube, Samsung wametoa ki-clip ili kuzitambua bidhaa zao origino.
Kuanzia simu, chaji, waya, betri, usb, kichwa cha chaji na nembo ya Samsung.

Ingia Youtube, search 'Samsung, 10 ways to spot the fake and original product'
Utapata unachohitaji...ila note 2, 4 na S8 tumepigwa sana aisee.
Tumepigwa kivipi mkuu embu nifumbue macho.
 
Da na mm note 4 yangu betr inasumbua sana wakuu wap nitapata betr yenye unafuu kidogo hapa dar es salaam
 
  • Thanks
Reactions: 4wd

Back
Top Bottom