Msaada: ushawahi kujaza form ya PF 11 ya UNHCR?

Msaada: ushawahi kujaza form ya PF 11 ya UNHCR?

AYO AYO

Member
Joined
Nov 16, 2015
Posts
30
Reaction score
26
Wakuu bila shaka ni kwema sana!
Naomba kufahamu kama kuna watu wapo humu ni either wafanyakazi wa UNHCR TANZANIA ama kuna mtu alishawahi kujaza hii form ya PF11 Anipe msaada zaidi namna nzuri ya kuijaza inipe priority. Nimetumiwa hii form kutoka UNHCR kigoma niijaze niwatumie kabla ya Ijumaa.
Nimeiona, ni ndefu, ni mpya kwangu!
Naomba msaada
Whatsapp me on 0683011003 kwa msaada zaidi
Asanteni.
 
Back
Top Bottom