nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 290
- 237
Wakuu kuna rafiki yangu amesota sana mtaani professional ni accountant akabahatika kupata kazi m power wanamlipa 630.000 kwa mwezi bila makato tatizo Linakuja hapa
Malengo yake ni kuwa katika field ya accounting ili aweze kujiendeleza na masomo kama CPA sasa uko Simiyu sidhani hata kama kuna hizo course, anaogopa asiende kupoteza muda wake bure huko. Je aendelee kukaa mtaani au aende kazini???
Ushauri wako ni muhimu sana kama una intention ya kum criticize fanya hivyo kimoyo moyo.
NAWASILISHA WAKUU
- Kapangiwa mkoani Simiyu na yeye anaishi Dar
- Kazi anayoenda kufanya doesn't relate kivyovyote na accounting anaenda kufunga solar