Naombeni ushauri na msaada wenu kuhusu Ajira


R

ramir

New Member
Joined
Apr 28, 2013
Messages
2
Likes
0
Points
3
R

ramir

New Member
Joined Apr 28, 2013
2 0 3
Habari zenu wapendwa. Kwanza kabisa nawashukuru kwa mchango wenu katika ujenzi wa taifa. Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 29. Kwa muda wa miezi kadhaa nimekuwa nikitafuta kazi bila mafanikio. Niliwahi kuomba kazi ya TUTORIAL Assistant kwenye chuo kimoja Dodoma, ila waliniita kwenye interview siku moja kabla hivyo sikupata hata muda wa kujiandaa.
Kielimu nina Degree ya Masoko yaani Marketing (Second Upper Class) niliyoipata mwaka 2012. Nafahamu mambo mengi kuhusu utafiti wa Masoko, pia ninafahamu programu muhimu za computer kama PowerPoint, Tally, Photoshop n.k.
Vile vile mimi ni WEB DESIGNER - nafahamu xhtml, html, PHP etc. Naweza kutengeneza website, forum au blog kwa kutumia templates na scripts mbalimbali zikiwemo Joomla, Mybb, Jcms, wordpress etc.
DEMO:
http://dsmforum.tk
http://fonebook.tk

Kwa kuwa nimesomea Marketing na nafahamu web designing ninaweza kuunganisha hizo skills kutangaza kampuni/taasisi itakayoniajiri - kinachoniuma ni kwamba sijapata nafasi ya kufanya demonstration.
Naweza kufanya kazi yeyote, sehemu yeyote na wakati wowote. Kama kuna taasisi, kampuni au mtu yeyote aliye tayari kunisaidia naomba anisaidie kwani maisha ya kukaa mtaani bila kazi ni magumu sana. ASANTENI WAKUU, mungu awabariki wote.

Wasiliana nami kupitia:
E-mail: karlosvicent@gmail.com
Mobile: +255684664554
 
Chatumkali

Chatumkali

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Messages
2,044
Likes
92
Points
145
Chatumkali

Chatumkali

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2011
2,044 92 145
Safi!Utapata kitu kijana.
 

Forum statistics

Threads 1,250,718
Members 481,468
Posts 29,743,126