Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Hapo chacha.. me mwenyewe namtaka vilevile!Hii mitego tu. Hana marafiki huyu?
sasa mbona umemuanika humuHapo chacha.. me mwenyewe namtaka vilevile!
sasa mbona umemuanika humu
jamani huyu anatafuta kuwekwa kinyumba na hela za selfie anapata wapi ukute kuna jitu limechukua picha yake likaibandika hapo na kuweka maelezo ya uongo... hizi sheria za mitandao hazifanyi kazi vizuri naona ziliwkwa fasta kutuminya sisi nyumbu tusiwazibe pumxi majamaa wa lumumba
Tufanye mpango tumtafute
Many dishes make many diseasesTufanye mpango tumtafute
Many dishes make many diseases
haha rudi hapa halaa
huyo mtoto ila ni mzurihaha rudi hapa halaa
Mwivi kuba veve...!!!