Msaada ujazaji wa Online Teachers Employment Application System (OTEAS)

eti nikweli kama ulipangiwa miaka ya nyuma huko hukwenda unaweza kurenew ukarudishwa pale ulipangiwa?
 
 
 
Mbona sijaona link hiyo mkuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako ni uvivu yaani unataka kila kitu upewe kikiwa tayari.
Hivi unashindwa nini kuingia tovuti ya tamisemi na kuangalia hilo tangazo la ajira? Au hata tovuti ya tamisemi huijui?

Ingia hapa www.tamisemi.go.tz
Kisha shuka chini tafuta tangazo la ajira za ualimu, chini yake utaona link ya kutuma maombi ambayo ni hii http://ajira.tamisemi.go.tz ukiingia hapo fuata maelekezo kujisajili kila kitu kimeelekezwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejaribu ilah haifunguki Ni tatizo la hiyo site au?? Ni zaidi ya mara nane ssilah haifunguki
 
Jmn mnisaidie kitu kmoja nimeatach vyeti vyote lkn kienda kuview chet cha matokeo ya chuo hakitokei kwny panel attachment ,,tafadhal msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…