Kaputula La Marx
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 562
- 500
Kwa sababu ukimaliza attachment then ukachaguo mikoa yako mitatu ile ku save tu hapohapo inakwambia successful completed the application. Tofaut na hapo utakuwa uki save inakubali kisha ukienda kwenye preview hakuna kitu
Fafanua vizuri Mpl kivipi mkuu mm nimeulizwa hili swali nikawa sina majibu ya kujitoshelezaAttach mpl vitokee vyote
Umekosea kitu ganiJamani msaada nimekosea kwenye barua na nimeshatuma,,,nifanyeje
Kwenye barua nimeandika application for primary school badala ya secondary school,nifanyejeUmekosea kitu gani
Unapoomba msaada ni vyema ukweka bayana tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa siwez kutoa jibu la uhakika ila nazan nao wanajua kwamba walitoa tangazo lenye mkanganyiko kidogo..cha msingi kuomba Mungu watumie busara katika kupitia maombi yetu..Kwenye barua nimeandika application for primary school badala ya secondary school,nifanyeje
Hii system ina option ya "submit" au mnamaanisha kitu ganimim nilisubmit hivyohivyo kwasabbu nauhakika niliupload transcript,nimepriview saiz nimeona wamesha toa hiyo grade A yao imebaki transcript
Kam bado hujasubmit rudia kuijaza ile sehem uliyokosea yan kipengel ulichokosea sio kuedit jaza upya alf save utaon mabadiriko kweny reviewNaomba kuuliza hivi kama umekosea detail unaedit VP au ndo mpaka ufungue akaunt mpya
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina ila ukishamaliza ku upload unaply ndo final unasave
Inawezekana,sababu kuna mwl hapa amefanya hivyo kaomba post. ndio anafanya attchment.na bado zinakataa .
maana naamin kwa mfumo huu unaweza edit kutoka mwanzo mpk mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siku nyingine uliza swali kwenye thread husika...sio watu wanajadiliana kuhusu kitu flani wewe unaenda kuingiza maswala tofauti na kile kinachojadiliwaWazma humu ndan KADKO wamefkia wap maana kuapply tulitmia ajiraportal ntajuaje kama nmeitwa kwenye usail
Sent using Jamii Forums mobile app
Maadam hakutuma hio haina shida haiwi considered na haijafika kwenye server zao wanadili na submitted applicationsMSAADA WADAU KUNA MTU KAMFANYIA DOGO APPLICATION SASA INAONEKANA ALIPOONA INASUMBUA AKAISHIA NJIANI HALAFU AKACREATE NEW ACCOUNT AKAFANYA AKAMALIZA NA KUSUBMIT!!
SASA TATIZO NI ILE ACCOUNT ALIYOIACHIA NJIANI BILA KUIMALIZIA AFANYAJE WATAALAM!??
Upload kwanzia saa 11 alfajiri...Amani naiwe kwenu.
Nimejaribu kumjazia mdogo wangu maombi ya ajira TAMISEMI kwenye system yao ya OTEAS, lakini changamoto ninayoipata ni kwenye attachment.
Kila nikijaribu ku-upload attachment ina-load tu bila kumaliza. Niki-view application naona taarifa zote kasoro attachment tu.
Please naomba msaada wa yeyote ambaye ameshawahi kufanikiwa kufanya application na namna alivyofanikiwa hasa kwenye ku-upload attachment.
Natanguliza shukurani zangu za dhati.