Msaada / Ufahamu juu ya Tablet {Sumsung tablets}

Msaada / Ufahamu juu ya Tablet {Sumsung tablets}

Bonlove

Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
45
Reaction score
5
Wanajamvi nataka kuingia ktk ulimwengu wa matumizi ya samsung tablet galaxy note 10.1
ila hizi tablets sizifahamu kwa undani ninaomba msaada wenu juu ya...
1. ni aina gani ya tablets nzuri(it means model/Vesion ?
2. Gharama zake zipoje? na ni wapi nitapata(dar sehemu gani?)
3. Iwe ina support laini ya cm
4. Iwe Original
5. Original utaitambuaje?
Bajeti yangu ni T.sh laki 9 hadi 1mil
Msaada plse ndg zangu Mzizi mkavu , Chief mkwawa ,Ilisokobwe, na wadau wengine......searching......................
 
Bonlove big up kwa kuiwazia tab ya samsung maana hata mimi nazipenda sana.binafsi sina utaalam sana wa tablet ila wataalam hapa watatupatia elimu.nilipokuwa nazipitia kule gsm arena nimeikuta galaxy tab s nikaipenda sana;wameitangaza mwezi huu na inatoka mwezi ujao hivyo basi kama huna haraka nakushauri uvute subira mwezi ujao ili upate kitu latest.hebu pitia hapa Samsung Galaxy Tab S 10.5 specs
 
Last edited by a moderator:
Kama upo wiling kuspend hadi 1m basi tafuta galaxy tab s ambayo ni around dola 500 marekan na ulaya. Nafkiri ma agent wa samsung dar watakua nayo hii tablet ina sifa hizi.
1.ni nyembamba sana around milimita 6 halafu si nzito kama robo kilo hivyo haitakusumbua kwa ukubwa wake na itakua rahisi kuibeba utakapo
2.ndio tablet yenye kioo bora kwa sasa duniani sababu samsung wamefanikiwa kueka vioo vya amoled kwenye tablets. Pia ina kioo cha 2k na ppi around 350. Even kindle fire na ipad wanasubiria in terms of display
3. Battery ya 7900 mah ambayo itatosha matumizi ya kawaida siku mbili
4.samsung touchwiz imekua optimized kwenye tablets hivyo utapata uwezo wa kugawanya kioo mara 2 na kufanya kazi mbili kwa mpigo,
5.perfomance ni kubwa sababu ndio flagship yao ya tablet
 
Samsung Galaxy Note 10.1 SM-P601 3G ni edition ya 2014,,,, Nenda Samsung Store samsung Store.PNG kama hazipo kwa sasa place order yako watakuletea... Hakikisha ni model (SM-P601 3G) ina support ya 3G connectivity.
 
Kama upo wiling kuspend hadi 1m basi tafuta galaxy tab s ambayo ni around dola 500 marekan na ulaya. Nafkiri ma agent wa samsung dar watakua nayo hii tablet ina sifa hizi.
1.ni nyembamba sana around milimita 6 halafu si nzito kama robo kilo hivyo haitakusumbua kwa ukubwa wake na itakua rahisi kuibeba utakapo
2.ndio tablet yenye kioo bora kwa sasa duniani sababu samsung wamefanikiwa kueka vioo vya amoled kwenye tablets. Pia ina kioo cha 2k na ppi around 350. Even kindle fire na ipad wanasubiria in terms of display
3. Battery ya 7900 mah ambayo itatosha matumizi ya kawaida siku mbili
4.samsung touchwiz imekua optimized kwenye tablets hivyo utapata uwezo wa kugawanya kioo mara 2 na kufanya kazi mbili kwa mpigo,
5.perfomance ni kubwa sababu ndio flagship yao ya tablet

chief hii galaxy tab s nimeipenda sana ngoja nijichange nikaichukue muda si mrefu.
 
Ahsante Chief ila nawezaje kutofautisha kati ya feki na origional? Plse
 
Nimekuelewa bt hii google map nimeshindwa kuelewa ni wapi
(Samsung store ipo wapi?)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom