Msaada: Ufafanuzi juu ya Islamic Banking

Riba sio biashara. Tehe tehe misaafu hii raha sana. Unanunua kitu 200 unauza 220 sio dhambi,ila ukikopa 200 ukirudisha 220 ni dhambi. etii tofauti ni kwamba hii ni riba ile ni faida ha ha ha.
 

Niko mbioni kusilimu kwa pesa za bure kama hizi!!!!
 

mkuu MR UNINFORMED ebu fafanua kidogo tuelewe. hilo gari wananiuzia kwa bei ya sokoni au wanaongeza hapo kitu kidogo ambacho ni riba ila wanaiita faida?? fafanua vzr, nikiwa na cash milion kumi napata gari, nikienda benk zao wananinunulia hilo gari alafu wananidai milion 11 nilipe kwa installment say mwaka mmoja. hapo kuna tofauti gani na kusema umenikopesha milioni kumi nilipe riba ya 10% kwa mwaka? naomba shule hapa
 
Riba sio biashara. Tehe tehe misaafu hii raha sana. Unanunua kitu 200 unauza 220 sio dhambi,ila ukikopa 200 ukirudisha 220 ni dhambi. etii tofauti ni kwamba hii ni riba ile ni faida ha ha ha.

hahahahaaaaa! you made my day
 
Kwa kifupi hii ni bidhaa mpya kwenye soko nawashukuru wajuzi kunipa mwanga. Mimi naamini kwa wanaoelewa biashara au masoko hakuna haja ya kubishana wali na pilau ni vyakula-tofauti.
 

Asante sana. Kwanza nianze kwakukuomba uingie youtube utapata tutorial nyingi katika islamic banking...both pro and cons zake. Kujibu swali lako...ninkwamba kwa mujib wa islamic law kumpa mtu hela halafu arudishe kwa nyongeza ya hela ni haram. Lakin kumuuzia mtu kitu kwa faida si haramu. Hvyo kama unahela cash then huna haja ya kuwaendea. Ila kama hela yako ni ya mafungu hapo ndo role yao itaonekana. Tofauti hasa ni kwamba panatakiwa kuwa na kitu katikati na si kwamba hela hyohyo ndo item inayouzwa. Niseme kuuza kitu kwa faida si kuuza kwa riba. Tofaut inaweza kuwa ndogo sana ila ipo. Ujuzi wangu unaishia hapo....ila tafti tu majibu mazuri zaidi yapo....
 
thanks kwa info. nimegundua kuwa kinachogomba hapa ni neno riba lakn riba kwa maana ya penalty ya kukaa na pesa ya benki kwa muda fulani ipo hapo. mm ninachotaka, gari linauzwa sokoni kwa milion kumi, mm sina hyo pesa, naelewana na benki wananipa hyo pesa nanunua gari, baada ya say mwaka mmoja narejesha milion kumi au nalipa kidogokidogo hadi namaliza milioni kumi. hapo hakuna riba. nikilipa zaidi ya hapo nitakuwa nimelipa riba. labda mm nina kichwa kigumu kuelewa, natanguliza samahani
 
Hamjui tofauti kati ya RIBA na FAIDA ?
Waulizeni wale waliouziwa nyumba zao kupitia kwa madalali wa benki, wanajua tofauti yake..!
Au muulizeni Bi Saada Mkuya..Serikali ilikopa ngapi na sasa inatakiwa ilipe ngapi ?
 
watu wanazungumzia riba ww unazungumzia riba kubwa.
 
Interest is a reward for capital and profit for entrepreneurship. try to think critically.
 
kabla ya kujiunga lazima ujifunze kuwa na hasira,ugomvi, jaziba,chuki nk hapo utakuwa umewiva kweyikweyi

............. kwani waliokuwa na jazba, hasira, chuki na ugomvi wa kumuua Yesu nao walijifunzia wapi !?? Pota
 
Last edited by a moderator:
Nilivyoelewa ni kwamba Islamic banking na non-islamic banking wanafanya kazi moja kabisa ila non-islamic banking wanaiita ongezeko la thamani riba na Islamic banking wanaiita faida jambo ambalo ni moja kabisa.
 

Asante sana. Nikuweke sawa kuwa si kwamba unakichwa ngumu hapana. Iko hiv...lazma tukubaliane kuwa hapa sheria inayotumika hapa ni islamic...ambayo inatafsri mambo tofaut na common law au angalau kwa jinsi tulivozoea. Sasa basi kwa mujib wa sharia...hela siyo commodity by itself. Ni means of exchanging value of commodity. Kwa maana hyo huwez kumpa mtu hela halafu arudishe na nyngeza kisha uite faida...kwa mujib ya islamic law itaitwa riba. Kurejea mfano wa gari ...hapa shida yako si hela ni gari....ila muuzaji wa gari pale befoward anauza mil 10. Weww huna mil kumi ila kuna muuzaji mwingine anasema ntakuzia gari hilo hilo...ila ntaweka faida kiasi fulani. Huyu muuzaji wa pili anakwambia nafuu ntakayokupa ni weww utanilipa polepole...sasa hapo huwez kusema ni riba. Labda niulze swali unapoenda kununua kibiriti kwa mangi yeye kaweka faida tayri je utakuwa umelipa riba?! Bila shaka hapana. Kwhyo sasa fact iko hiv...kwa islm bank ni lazma pawe na mali katikati..si swala la pesa kwa pesa pekee.
 
Riba sio biashara. Tehe tehe misaafu hii raha sana. Unanunua kitu 200 unauza 220 sio dhambi,ila ukikopa 200 ukirudisha 220 ni dhambi. etii tofauti ni kwamba hii ni riba ile ni faida ha ha ha.

Kweli ni raha sana....ila raha zaidi ni pale utakapoelewa hizi falsafa zinafanyaje kazi hasa...napendekeza hebu jarib kufanya kautafit kidogo....tu..halafu njoo ushare hapa....karibu
 

Mimi nitaelewa vizuri kama benki itakuwa inachukua bidhaa kiwandani na kuuza bei ya sokoni au kuagiza magari japani na kuuza bei ya showroom. Vinginevyo bado nitakuwa na mashaka.

Na vipi kuhusu huo mfumo wa kugawana faida huwa inakuwa kuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…