MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,882
Nairobi university ni better
nairobi noma kwenye output... wanazalisha graduates wachache ila very smart output..
makerere wanakimbiza kwenye research... yaani university ina research centre ya kufa mtu ile ya kuvumbua hata kitu
udsm chuo changu ccm ndio mchawi wetu tunashika mkia
Google/ Nenda ESAMI (Arusha), hutojuta; Nipo Maldova nakula maisha (UNDP)Wasalaaam,
Hivi kati ya hivi vyuo vikubwa Afrika Mashariki kipi:
Hebu tusaidiane tafadhali......
- kinatoa wanafunzi wazuri wenye uwezo wa kushindana kwenye soko la Ajira kimataifa?
- Kinafanya tafiti nyingi za Kitaalamu zenya manufaa makubwa kwa jamii?
- Kina Uhuru Mkubwa wa kielimu (Intellectual Freedom) ambao hufanya vipaji vya wanafunzi na Wahadhiri kuonekana kwa Urahisi?
- Kinawapika viongozi wenye kuweza kuenzi historia na tamaduni za Kiafrika?
- Kina Mazingira Mazuri yenye kumuwezesha mwanafunzi kusoma vizuri?
Chuo bongo Ni SUA
Mkuu ESAMI wanafundisha nini?Google/ Nenda ESAMI (Arusha), hutojuta; Nipo Maldova nakula maisha (UNDP)
Kenya is KenyaWasalaaam,
Hivi kati ya hivi vyuo vikubwa Afrika Mashariki kipi:
Hebu tusaidiane tafadhali......
- kinatoa wanafunzi wazuri wenye uwezo wa kushindana kwenye soko la Ajira kimataifa?
- Kinafanya tafiti nyingi za Kitaalamu zenya manufaa makubwa kwa jamii?
- Kina Uhuru Mkubwa wa kielimu (Intellectual Freedom) ambao hufanya vipaji vya wanafunzi na Wahadhiri kuonekana kwa Urahisi?
- Kinawapika viongozi wenye kuweza kuenzi historia na tamaduni za Kiafrika?
- Kina Mazingira Mazuri yenye kumuwezesha mwanafunzi kusoma vizuri?
bila shaka ww ni kilazer wa teku o udom!Toa huo uchafu wa UDSM kwenye vyuo smart
UDSM inaanzia wapi ku-compete na Makerere na UNairobi...?bila shaka ww ni kilazer wa teku o udom!
Nimepitia vyuo tajwa kasoro hicho cha ccm (so called UDSM), Kwa tafiti Makerere wanakimbiza lakini graduates wa UNairobi katika soko la ajira hawakamatiki.