Msaada UAE, Oman, Saudia, jobs agent wa Tanzania au Zanzibar

Mnyakyusa Ipinda

JF-Expert Member
Dec 9, 2020
439
1,526
Hello wakuu, habari.

Naomba msaada kwa yoyote anayefahamu agents wa kutaftia watu kazi (skilled na non skilled jobs) kwa nchi hizo za kiarabu naomba anifahamishe mahali wanapopatikana ama mawasiliano yao.(unaweza niandikia tu DM pia), iwe ako bara ama Zanzbar.

Natangulisha shukrani.
 
Back
Top Bottom