Msaada tv yang samsung in blink

Msaada tv yang samsung in blink

upeo

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2013
Posts
369
Reaction score
222
habari ya jioni wakuu ..kama madaa inavyojieleza hapo juu..ni kwamba tv yangu ya samsung nikiiwasha in blink sanaa wala haitizamiki nimewapelekea mfundi kazaaa lakini imewashindwa kuitengrneza wengi wao hawana majibu ya uhakika je wakuu mnaweza kunisaidia kujua tatizo nini nashkuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina tatizo linalofanana na hili, yangu iligongwa inaonyesha lkn inaonyesha picha mara mbili mbili, nimewauliza mafundi wachache wamenambia hakuna namna ya kurekebisha flat screen, namna pekee ni kununua screen mpya au Tv kutupa na kununua nyingine

Ngoja nipange foleni tusubili wataamu
 
ingekuwa vizuri kama ungetaja model ya hiyo tv yako (specification)ili kuwarahisishia wataalamu namna ya kukusaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom